CCM bila UKAWA hawajiamini

CCM bila UKAWA hawajiamini

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Nimegundua bunge la katiba ni UKAWA maana toka wametoka wachangiaji wamepooza sana pia wamepoteza kujiamini kabisa kwenye uchangiaji

Namsihi mwenyekiti SITTA aendelee kujitahidi kuwapigia magoti UKAWA kama alivyoanza jana kule znz ili warudi bungeni tupate katiba bora na bunge bora na la kihistoria
 
- Sasa mbona bunge linaendelea au?

Le Mutuz System
 
Nimegundua bunge la katiba ni UKAWA maana toka wametoka wachangiaji wamepooza sana pia wamepoteza kujiamini kabisa kwenye uchangiaji

Namsihi mwenyekiti SITTA aendelee kujitahidi kuwapigia magoti UKAWA kama alivyoanza jana kule znz ili warudi bungeni tupate katiba bora na bunge bora na la kihistoria

Alitakiwa kuliahirisha Bunge kwa muda huu ili kuapata muafaka wa wabunge waliosusia vikao hivi.Si dalili nzuri hata kidogo.Busara ndogo tu ingetumika kuinususu nchi yetu.

Marithiano ndiyo kitu cha msingi,alikosea alipokuwa kimya juu ya wale Wajumbe waliokuwa wanatoa kashfa, matusi na ukabila na alitakiwa kubadilika hata sasa wakati muda mwingi wajumbe badala ya kuchangia kwenye Rasimu wako busy wanaendelea kuananga wapinzani,siwaelewi.
 
- Lakini 2/3 si ipo mle ndani inayohitajika kupitisha sheria au?

Le Mutuz System

hakuna unachokijua wewe .... unajua udaku tuu .... 2/3 inahitajika both wajumbe wa zanzibar kwa upande wa visiwani na wajumbe kutoka bara nao wapitishe 2/3

the game has to be 2-0 and not 1-0 0r 1-1
 
Kwenda zako wewe bavicha huna jipya tafuta ajenda nyingine bunge limekuwa ni bunge la kistarbu watu wanajenga hoja hakuna matusi tena kama yaliyokuwa yanatolewa na Lisu na wengine.
 
Kwa hilo naunga mkono hoja na pia nashukuru udhaifu wa sitta umeuona

Wajumbe hawachangii tena sura 1-6 wanachangia UKAWA kutoka nje sasa kama kinawauma wakae warithiane swala la akidi kutimia au kutokutimia sio hoja kama LE MUTUZ anavyotaka kujitete hapo juu.
 
Hakuna unachokijua bora kaa tulia wewe kama ungefuatilia vema kanuni na kujua waliotoka ni watu wangapi ndipo ungesema pengine unawaza kama hawa.
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    88.7 KB · Views: 476
Kwenda zako wewe bavicha huna jipya tafuta ajenda nyingine bunge limekuwa ni bunge la kistarbu watu wanajenga hoja hakuna matusi tena kama yaliyokuwa yanatolewa na Lisu na wengine.
bunge gani unaloangalia hapa? Mbona mipasho,kejeli, matusi na ngonjera zinaendelea? Hakuna jipya zaidi ya ufisadi tu!
 
Kweli hawa jamaa bongo zao zimekufa kabisa,Usitarajie mtu mwenye ubongo uliokufa akawa hoja za kueleweka,Kwa mfano huyu Waziri Amos Makala ambaye anaongea sasa hivi jamaa sina hakika kama hata anachokiongea anakielewa lakini viongozi wetu hao tunaowategemea waijenge nchi yetu yenye uwezo wa kupambana na majirani zake kiuchumi,sijui jamaa alishinda bar,aibu!!!
 
Kwa hilo naunga mkono hoja na pia nashukuru udhaifu wa sitta umeuona

Wajumbe hawachangii tena sura 1-6 wanachangia UKAWA kutoka nje sasa kama kinawauma wakae warithiane swala la akidi kutimia au kutokutimia sio hoja kama LE MUTUZ anavyotaka kujitete hapo juu.

Na kilichowatoa UKAWA nje si matusi au dhihaka bali ni kule upendeleo wa wazi wa kiti.Ndiyo maana nasema kwa sauti kabisa Makamu na Mwenyekiti wake,BUSARA zao zilienda likizo.Kama wangefuata haki toka mwanzo hili lisingetokea.Na hata leo wanafanya lilelile ,badala ya kujenga hoja kwa nini serikali mbili wajumbe wengi wako busy wakijadili UKAWA na ubinafsi wa mtu,kweli inasikitisha.
 
- Lakini 2/3 si ipo mle ndani inayohitajika kupitisha sheria au?

Le Mutuz System

Mkuu kilichomo mule ndani ni Korum ila theluthi mbili hakuna (upande wa Zanzibar) kwahiyo bila ukawa kurudi walioko huko Bungeni wataishia kunawa tu ila kula hawatakula
 
Hakuna unachokijua bora kaa tulia wewe kama ungefuatilia vema kanuni na kujua waliotoka ni watu wangapi ndipo ungesema pengine unawaza kama hawa.

hakuna unachokijua wewe .... you are just a puppet .... hebu hesabu wajumbe wa CUF na ukawa kwa upande wa zanzibar na wajumbe wa maccm kwa upande wa visiwani uone kama utapata 2/3 .... pili katika kamati husika 2/3 haipo kwa uwiano wa upande wa visiwani

usipende kuropoka ... kasome kanunni upya
 
hakuna unachokijua wewe .... unajua udaku tuu .... 2/3 inahitajika both wajumbe wa zanzibar kwa upande wa visiwani na wajumbe kutoka bara nao wapitishe 2/3

the game has to be 2-0 and not 1-0 0r 1-1

@W. J. Malecela ni janga la taifa
 
Back
Top Bottom