Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,759
- 140,596
- Sasa mbona bunge linaendelea au?
Le Mutuz System
nguvu kazi ya vijembe ni hii pia
- Sasa mbona bunge linaendelea au?
Le Mutuz System
- Lakini 2/3 si ipo mle ndani inayohitajika kupitisha sheria au?
Le Mutuz System
Naomba kujuzwa kwa anayefahamu jumla ya wajumbe wa zanzibar kwenye bunge la katiba ni wangapi na walioko UKAWA ni wangapi ? please
Ukawa ni kama maji usipoyaoga utakunya, mm naomba vyombo vya habari makini kama mwanchi tanzania daima nipashe zitafute maoni ya wananchi na swali liwe hivi je tuko ukawa watoke bungeni wananchi waliyowengi wamesusia bunge?
Yes,sasa pata picha hapa yupo malechela,pale nappe na kwa pembeni yao yuko makonda .... ccm oyeeeeeeeee@W. J. Malecela ni janga la taifa
Alitakiwa kuliahirisha Bunge kwa muda huu ili kuapata muafaka wa wabunge waliosusia vikao hivi.Si dalili nzuri hata kidogo.Busara ndogo tu ingetumika kuinususu nchi yetu.
Marithiano ndiyo kitu cha msingi,alikosea alipokuwa kimya juu ya wale Wajumbe waliokuwa wanatoa kashfa, matusi na ukabila na alitakiwa kubadilika hata sasa wakati muda mwingi wajumbe badala ya kuchangia kwenye Rasimu wako busy wanaendelea kuananga wapinzani,siwaelewi.
- Sasa mbona bunge linaendelea au?
Le Mutuz System
Kanuni au mwongozo wa bunge la katiba unasemaje wakati wabunge wameamua kususia bunge?
Kwa mtazamo wangu pande zote mbili hazikuwa na nia ya DHATI KABISA YA kuwa na katiba mpya.Ili katiba ipatikane yanatakiwa maridhiano ,na kuelewana,kukubali kukosa na kupasta baadhi ya vutu unavyotaka kitu ambacho nakiona hakikuwepo tokea mapema.Kila upande ulitaka ajenda zake zipitishwe vinginevyo hakuna kuafikiana.
Nchi yetu kwa jinsi ninavyoiona wabunge wote WALIKUBALIANA KITU KIMOJA, WACHUKUWA POSHO BAADA YA HAPO, MAMBO MENGINE YOTE BAADAYE.
Ndiyo maana leo Mbowe anasema KATIBA SIO LAZIMA IPATIKANE SASA.Ukiangalia nyuma miaka minne tu iliyopita MBOWE ALISEMA KAKIFANIKIWA KUINGIA IKULU KATIBA INGEKUWA TAYARI KATIKA KIPINDI CHA SIKU 100.
Niliotegemea MBOWE angeliambai bunge la katiba mbinu ambayo walipanga kuitumia ili Watanzania waipime.
Kama kura zinatimia wanacholumbana kitu gani si wapitishe hiyo katiba wanayoitaka hata leo!!- Lakini 2/3 si ipo mle ndani inayohitajika kupitisha sheria au?