CCM bila UKAWA hawajiamini

CCM bila UKAWA hawajiamini

Ukawa ni kama maji usipoyaoga utakunya, mm naomba vyombo vya habari makini kama mwanchi tanzania daima nipashe zitafute maoni ya wananchi na swali liwe hivi je tuko ukawa watoke bungeni wananchi waliyowengi wamesusia bunge?

Mkuu, hapo kwenye vyombo vya habari makini "NIPASHE" watoe,,,,

Nimelisoma gazeti lao la j'pili tar 20,,,mtazamo wao kuhusu katiba hauna tofauti na waliosalia bungeni,,,

Wamewaponda UKAWA kwenye taharii yao pamoja na vijimakala vyao,,,

Wakati nalisoma nilikua siamini kama nasona Nipashe, nilidhani ni Uhuru au Habari Leo,,,
 
lile si bunge naweza kusema kuwa ule ni mkutano wa chama, watu wanajitambulisha na kunadi sera zao
 
Mimi sijui kwa nini wanazidi kujadiliana, si wangefikia tu hatua ya maamuzi kwani hakuna wanaopingana nao. Nadhani kesho wapige kura waone kama wameipata hiyo 2/3 yao, UKAWA mwendo mdundo hakuna maridhiano, isipokuwa kwa sharti moja tu; Rasimu kama ilivyowasilishwa na Jaji Warioba ndiyo iwe dira ya majadiliano na hakuna kubadilisha chochote hasa muundu wa muungano period.
 
hakuna unachokijua wewe .... unajua udaku tuu .... 2/3 inahitajika both wajumbe wa zanzibar kwa upande wa visiwani na wajumbe kutoka bara nao wapitishe 2/3

the game has to be 2-0 and not 1-0 0r 1-1

Huyu Le Mtutuz ni -------- na Msakatonge tu hana analolijua kabisa and is a nonsene and stupid pig na kibaraka wa CCM ambao pia walishamtosa hivyo anaongea asichokijua.
 
Kwa hilo naunga mkono hoja na pia nashukuru udhaifu wa sitta umeuona

Wajumbe hawachangii tena sura 1-6 wanachangia UKAWA kutoka nje sasa kama kinawauma wakae warithiane swala la akidi kutimia au kutokutimia sio hoja kama LE MUTUZ anavyotaka kujitete hapo juu.

- Mrudi au msirudi katiba itapita kama mnabisha keni pembeni muangalie mchezo, Taifa zima hili wananchi Millioni 44 tunaweza kubabaishwa na UKAWA are you kidding me?

Le Mutuz System
 
Huyu Le Mtutuz ni -------- na Msakatonge tu hana analolijua kabisa and is a nonsene and stupid pig na kibaraka wa CCM ambao pia walishamtosa hivyo anaongea asichokijua.

- Unafikiri haya maneno ya mtaani ndio yatasaidia? Katiba itapita tu kweli una amini CCM inahitaji UKAWA kurekebisha KAtiba? wait and see!1

Le Mutuz System
 
Chama cha CUF ndiyo KING PIN wa hii katiba mpya, no wonder Sitta amekwenda ZNZ kuwaangukia CUF. UKAWA wanawahitaji CUF ili kukwamisha katiba mpya ya ki-CCM. On the other hand CCM wanawahitaji CUF ili kupitisha katiba mpya ya ki-CCM. Hivyo basi CUF wameshika MPINI wakati UKAWA na CCM wameshika MAKALI. Wote (UKAWA NA CCM) wanasubiri huruma ya CUF. Kwa wale mliowahi kucheza karata, CUF wamelamba DUME, UKAWA na CCM wamelamba MAJIKE, wanasubiri mmoja wao aolewe na CUF.

- Sasa haya hayawahusu mmetoka bungeni nyamazeni, hivi kweli ulidhani CCM hawana plan b tulieni sasa muone mtakavyoabishwa na huu mchakato!!

Le Mutuz System
 
Kwa hiyo kama linaendelea? Hivi wewe Msakatonge unajua maana ya kitu kinaitwa AKIDI?

Bunge lina jumla ya Wajumbe 629, UKAWA waliotoka ni 200+. Kuna Wasakatonge wengine kutoka chama chako cha Majambazi CCM huwa hawahudhurii BUNGE zaidi ya 100 na zaidi. Sasa hapo bado unadai kuna Bunge? Waliobaki humo twaweza wafananisha na KIJIWE cha wavuta Bangi au Madawa ya Kulevya au kikundi cha TAARABU na mipasho!!!Wanaongea pumba na kutukana tu, hawana hoja hata moja!!!

Hivi kwanini Mwenyekiti wako Sitta anahaha kuwabembeleza UKAWA warudi Bungeni??

Think Bing men!

- UKAWA kuhaha kwa Sita kunawahusu nini? nyie kalieni mgomo wenu sisi tunaendelea na mchakato na kutapita kudadeki zenu!!

Le Mutuz System
 
Le Mutuz katiba hata ikipita ni ya CCM sio ya Watanzania! Wanayoitaka Watanzania itakuja tu wewe ukiwa bado hai mwombe Mungu uje uione ila hiyo ya hao wapumbavu wenzio ni yao kwa niaba ya wake zao, watoto wao na Malaya zao sio yetu Watanzania. CCM wamekosa mtu mwenye busara kama Nyerere ingawa Mungu amewabakizia Warioba na wengine wachache lakini CCM wamewageuka na kuwatukana hao waliowateua kwenye tume ya mabadiliko ya Katiba.
 
- Bunge linaendelea sasa kelele za nini nyie UKAWA? Tulizeni boli sisi tunasonga mbele na mchakato hamuwezi nendeni mkaandamane vizuri, ha! ha! ha!

Le Mutuz System

Umeshamsikia nani wa UKAWA kaongelea kuhusu kuendelea kwa bunge brother?wamewaachia CCM muendelee na kikao chenu cha chama cha matusi, kejeli, dini, ubaguzi na kusifiana mnavyoongea pumba zenu...mmeachiwa bunge bado mnalalamika UKAWA huku UKAWA kule
 
Hakuna aina nyingine ya siasa ambayo inaweza ikafanyika hapa Tanzania bara na huko zanzibar zaid ya hii inayofanywa sasa?
 
Umeshamsikia nani wa UKAWA kaongelea kuhusu kuendelea kwa bunge brother?wamewaachia CCM muendelee na kikao chenu cha chama cha matusi, kejeli, dini, ubaguzi na kusifiana mnavyoongea pumba zenu...mmeachiwa bunge bado mnalalamika UKAWA huku UKAWA kule

- Nimeona mahali Tundu Lissu analia lia kama mtoto mdogo kuhusu mwenendo wa bunge akome na asirudie tena bunge sasa halimuhusu kabisa, na wote mnyamaze bunge haliwahusu tena!!

Le Mutuz System
 
Le Mutuz katiba hata ikipita ni ya CCM sio ya Watanzania! Wanayoitaka Watanzania itakuja tu wewe ukiwa bado hai mwombe Mungu uje uione ila hiyo ya hao wapumbavu wenzio ni yao kwa niaba ya wake zao, watoto wao na Malaya zao sio yetu Watanzania. CCM wamekosa mtu mwenye busara kama Nyerere ingawa Mungu amewabakizia Warioba na wengine wachache lakini CCM wamewageuka na kuwatukana hao waliowateua kwenye tume ya mabadiliko ya Katiba.

- Kaka katiba itapita kwani katiba ya sasa tunayotumia mlihusika na kuiandika si tuliandika CCM tu sasa nani anawadanganya kuwa tunawahitaji now? Ebo katiba itapita na mtaiheshimu mkileta za kuleta na kuvunja sheria mtapigwa tu! ha! ha! ha!

Haka kanchi mnakatafuna vizuri, raha eeeh!!!
 
- Kaka katiba itapita kwani katiba ya sasa tunayotumia mlihusika na kuiandika si tuliandika CCM tu sasa nani anawadanganya kuwa tunawahitaji now? Ebo katiba itapita na mtaiheshimu mkileta za kuleta na kuvunja sheria mtapigwa tu! ha! ha! ha!

Le Mutuz System

Let us wait and see, hamkawii kukimbia nchi nyie mkishaharibu hii siyo 1977, watu wanajua wanachokitaka na namna ya kupata mtakuwa wajinga sana kama mnadhani UKAWA wamekurupuka bila kuwa na mkakati maana akili zenu zinawaza posho tuu na kupayuka kama wehu bungeni
 
Hii ni katiba ya ccm na si wananch naamni kimstakabari itakwama tu kwenye kuipigia kura hasa zanzibar
 
Back
Top Bottom