CCM BILA UFISADI INAWEZEKANA. N.M. Nauye 2011

Albano

Member
Jul 21, 2009
41
10
CCM bila ufisadi inawezekana. Maneno hayo yalisemwa na Nnape akiongea na Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha St. Austine Mtwara. Aliwaeleza vijana hao kuwa historia ya chama chetu ni kuwatetea wakulima na wafanyakazi wanyonge. Sifa hiyo ya kihistoria imechafuliwa na mafisadi wachache sana.Hivyo ni jukumu letu vijana wa CCM kurudisha heshima ya chama chetu kwa kuwa kataa mafisadi ndani ya chama chetu.
 
Huyu bwana mdogo kwa kuropoka tu hajambo!Mbona hatuambii hao mafisadi waliokichafua chama chao ni akina nani hasa?je lengo lake la kutaka kuanzisha ccj limeishia wapi?zile siku 90 za harakati za kuwatimua wale wanaowaita magamba hazijaisha tu?Acha unafiki na kujitwisha mzigo mzito usiouweza,MAGAMBA wote ni mafisadi kuanzia mwenyekiti wako!
 
ccm bila ufisadi inawezekana. Maneno hayo yalisemwa na nnape akiongea na wanafunzi wa chuo kikuu cha st. Austine mtwara. Aliwaeleza vijana hao kuwa historia ya chama chetu ni kuwatetea wakulima na wafanyakazi wanyonge. Sifa hiyo ya kihistoria imechafuliwa na mafisadi wachache sana.hivyo ni jukumu letu vijana wa ccm kurudisha heshima ya chama chetu kwa kuwa kataa mafisadi ndani ya chama chetu.
ataje hao mafisidi vinginevyo hii ni hadith ya kufikirika
 
Kama CCJ Ilimshinda hata kabla ya Kusajiliwa!Je Siasa za Kisasa Ataweza?
 
Mnapoteza muda kujadili kauli za huyu dogo .Ma CCM hayajadiliki maana kiwachi mwao hakuna ubongo wa kawaida ni kitu kingine
 
Kama jf tuna upeo,tuache kusumbua vichwa vetu wakati tunajua,watakacho sema
leo, kesho watakikana au ni danganya toto kama wanavyo fikiria wote ni wajinga.
 
Hii post amepewa Nape anapwaya sana. Hivi wanachama wangapi wa hicho chama hawapendi rushwa.... Asubiri uchaguzi wao mwakani.
 
CCM bila ufisadi inawezekana. Maneno hayo yalisemwa na Nnape akiongea na Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha St. Austine Mtwara. Aliwaeleza vijana hao kuwa historia ya chama chetu ni kuwatetea wakulima na wafanyakazi wanyonge. Sifa hiyo ya kihistoria imechafuliwa na mafisadi wachache sana.Hivyo ni jukumu letu vijana wa CCM kurudisha heshima ya chama chetu kwa kuwa kataa mafisadi ndani ya chama chetu.
Swala hapa siyo kutaja mafisadi.kwani kila kona wametajwa.nachotaka kujuwa hao wanyonge na wakulima wanajuwa kuwa ni chama chao?wanathaminiwa? Wanasikilizwa?
 
huyu bwana mdogo kwa kuropoka tu hajambo!mbona hatuambii hao mafisadi waliokichafua chama chao ni akina nani hasa?je lengo lake la kutaka kuanzisha ccj limeishia wapi?zile siku 90 za harakati za kuwatimua wale wanaowaita magamba hazijaisha tu?acha unafiki na kujitwisha mzigo mzito usiouweza,magamba wote ni mafisadi kuanzia mwenyekiti wako!
kama ilivyo Tanzania bila ccm inawezekana.
 
Mnafiki tu huyu! Hana tofauti na mtu mwenye mke wa ndoa, watoto halafu anamwambia changudoa anampenda sana!? Wakulima walishasahaulika, wafanyakazi wapo hoi halafu bado anawadanyanya ccm ni chama chao. Unafiki mtupu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom