CCM Beyond 2015


Nyambala

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2007
Messages
4,470
Likes
30
Points
135

Nyambala

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2007
4,470 30 135
Du ina maana hilo lichama la kijani just 5 yrs away litakuwa limejaa vibabu. Where are the young guns?????? Hebu cheki hapa chini nyumri zao by 2015.

JK - 65

Makamba - 80

Msekwa - 80

Saim A. Salim - 73

Kingunge - 92

Warioba - 75

Sitta - 80

Mwandosya - 66

Malecela - 81

Change - 71

Lowassa - 62

Shein - 67

Hii inawezekana ndiyo sababu kuu ya kuchakachua taratibu kwa mtazamo wa , anyways wasubiri tufe. Pls expand the list watanzania tujuzane!
 

Ndahani

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2008
Messages
14,628
Likes
1,962
Points
280

Ndahani

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2008
14,628 1,962 280
You will not be in a succession plan unless you are the children of those old chaps. We have a leaflet top borrow from Botswana and China. There, the issue of technical know who is not applied and the guys are making good progress
 

kaburunye

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2010
Messages
675
Likes
8
Points
0

kaburunye

JF-Expert Member
Joined May 12, 2010
675 8 0
Wengi wao hadi 2015 watakuwa wameshatangulia mbele ya haki na uchaguzi wa %%%%%% utafanyika kabla ya 2015. You can take my words.
 

Nikupateje

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2009
Messages
1,314
Likes
109
Points
160

Nikupateje

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2009
1,314 109 160
Tuwapange watakavyokuwa kwa umri kuanzia mkubwa hadi mdogo:

1: Kingunge (92)
2: Mwinyi (90)
3: Malecela (81)
4: Makamba (80)
5: Sitta (80)
6: Msekwa (80)
7: Warioba (75)
8: Anna Abdallah (75)
9: Salim A. Salim (73)
10: Chenge (71)
11: Anne Makinda (70)
12: Shein (67)
13: Mwandosya (66)
14: Kikwete (65)
15: Lowassa (62)

Hapo average ni miaka 75.13. Tafakari.
 

October

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2009
Messages
2,147
Likes
5
Points
135

October

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2009
2,147 5 135
CCM wana sifa Zifuatazo:
  • MABINGWA WA KUINGIA MIKATABA MIBOVU!
  • WANAONGOZA KWA UONGOZI MBOVU
  • WIZI WA WAZIWAZI
  • UDINI
  • NO SUCCESSION PLAN......
    unaweza endeleza hapa
 

Nyambala

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2007
Messages
4,470
Likes
30
Points
135

Nyambala

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2007
4,470 30 135
Tuwapange watakavyokuwa kwa umri kuanzia mkubwa hadi mdogo:

1: Kingunge (92)
2: Mwinyi (90)
3: Malecela (81)
4: Makamba (80)
5: Sitta (80)
6: Msekwa (80)
7: Warioba (75)
8: Anna Abdallah (75)
9: Salim A. Salim (73)
10: Chenge (71)
11: Anne Makinda (70)
12: Shein (67)
13: Mwandosya (66)
14: Kikwete (65)
15: Lowassa (62)

Hapo average ni miaka 75.13. Tafakari.
Lakini tusijeshangaa wakiwa bado wanang'ang'ania madaraka hata ktk umri huo!
 

Forum statistics

Threads 1,204,999
Members 457,665
Posts 28,179,333