CCM badilisheni Katibu mkuu

Naona Bashite unaanza kampeni za kukalia kiti kamili.
 
Namkubali sana KM Daniel Chongolo. Anafanya vema kwenye nafasi yake kama mtendaji mkuu wa chama.

Hana mbwembwe na anajua mipaka yake. Kazi za kueneza siasa na propaganda sio jukumu lake.
 
Namkubali sana KM Daniel Chongolo. Anafanya vema kwenye nafasi yake kama mtendaji mkuu wa chama.

Hana mbwembwe na anajua mipaka yake. Kazi za kueneza siasa na propaganda sio jukumu lake.
Siasa za propaganda hazifai wala hazitakiwi hata kuenezwa na yeyote.
 
Naunga mkono hoja aidha niweke wazi pia hata Gigy money hiyo nafasi ni kubwa sana kwake hana maono, hana mikakati wala dira yupo yupo tu, nadhani pia tathmini ndani ya chama inahitajika kama kuna upenyo 2025 yafanyike mafekeche aje kiongozi sio model
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…