Uchaguzi 2020 CCM asili tunampa Lissu kura zetu

We mkikukuyu kapambane na ukabila kenya kwanza

Lissu tumempa chalenj akipata kura laki tano yeye ni kidume

Jamaa yangu ata hujishtukii Yani mmebaki Kama watano hapa jamiiforum mnaomtetea diktkta uchwara??

Ata hujishtukii?? Mbona CCM wenzako wamewasusia?? Kuna Siri gani.

Maji tuu mnashindwa kuwapa waTanzania miaka 60? Miaka mi5 iliyobaki ndo ataweza huyoo dikteta??

Ajira holaa
Habari holaa
Mishahara holaa
Upendeleo wa vyeti feki
Myongeza holaa
Mzunguko wa hela holaa(wekeni griss)
Michango ya Tetemeko kula
Nunua ya wabunge
Uwanja chato
Mbuga ya wanyama chato
Ben saa nane poteza
Tundu Lisu risasi
Uhuru holaa

HII NI INCHI AU JEHANAMU.
 
Huo ni uwongo wa Chadema mwisho wao ni October

Hakuna Mtanzania atampigia kura msaliti wa Nchi

Pia Tanzania hatutaki ushoga,

Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

W
Mimi ni baadhi ya wahanga wa kamati kuu. Ingawa tulishinda kwenye kura za maoni matokeo yake najina yetu yalikatwa. Nilikuwa wa kwanza lakini baadae niliondolewa. Nilipohoji niliambiwa ntapigwa money laundering. Nikaufyata. Ila kwa kweli tuna jambo let tarehe 28 Oktoba.

Tuko wengi. Rafiki yangu ni katibu wa CCM mkoa, naye ana lake jambo 28 October. Yeye alimchangia Lissu laki 5 na mgombea ubunge laki moja. Tunaonekana kijani, lakini mioyoni tuna jambo let. Wana CCM wenzangu, CCM asili, fanyeni kweli tarehe 28 October.

Tugawane mbao na hawa CCM mpya. Kura kwa Lissu
Wewe ni mhalifu tu, kama huna kosa kwa nini uogope money laundering?
 
Jamaa yangu ata hujishtukii Yani mmebaki Kama watano hapa jamiiforum mnaomtetea diktkta uchwara??

Ata hujishtukii?? Mbona CCM wenzako wamewasusia?? Kuna Siri gani.

Maji tuu mnashindwa kuwapa waTanzania miaka 60? Miaka mi5 iliyobaki ndo ataweza huyoo dikteta??

Ajira holaa
Habari holaa
Mishahara holaa
Upendeleo wa vyeti feki
Myongeza holaa
Mzunguko wa hela holaa(wekeni griss)
Michango ya Tetemeko kula
Nunua ya wabunge
Uwanja chato
Mbuga ya wanyama chato
Ben saa nane poteza
Tundu Lisu risasi
Uhuru holaa

HII NI INCHI AU JEHANAMU.
hii imefanywa jehanam. nitamshangaa mtanzania mwenye akili timamu kumpigia kura Magufuli tarehe 28.
 
Huo ni uwongo wa Chadema mwisho wao ni October

Hakuna Mtanzania atampigia kura msaliti wa Nchi

Pia Tanzania hatutaki ushoga,

Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Wewe utakuwa shoga si bure kila comment lazima uongelee ushoga.
 
Huo ni uwongo wa Chadema mwisho wao ni October

Hakuna Mtanzania atampigia kura msaliti wa Nchi

Pia Tanzania hatutaki ushoga,

Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Wewe utakuwa shoga si bure kila comment lazima uongelee ushoga.
 
We mkikukuyu kapambane na ukabila kenya kwanza

Lissu tumempa chalenj akipata kura laki tano yeye ni kidume
Yaani wewe sijawahi kuona ukipinga hoja kwa vitendo au kwa point zenye mashiko..... Huyo ni mwana CCM mwenzako,

Mimi sina chama ila ninapoona hoja zako kwenye haya majukwaa huwa nafikiria sana na kujiuliza, wanaokulipa wanakulipa shilling ngapi

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Kuwa makini mkuu. SELIKALI YA KIHUNI INABAMBIKIA WATU MAKESI MENGI SANA IKIWEMO UHUJUMU UCHUMI.

2020 KAZI IPO.
SHETANI ANASHINDANA NA MUNGU.
 
Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
Yaani wewe sijawahi kuona ukipinga hoja kwa vitendo au kwa point zenye mashiko..... Huyo ni mwana CCM mwenzako,

Mimi sina chama ila ninapoona hoja zako kwenye haya majukwaa huwa nafikiria sana na kujiuliza, wanaokulipa wanakulipa shilling ngapi

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
W
Wewe ni mhalifu tu, kama huna kosa kwa nini uogope money laundering?
Hahahahaha wewe jamaa upo nchi ipi money laundering unakamatwa unawekwa ndani afu kalenda za mahakamani.

Meko akikuchukia tu ujue money laundering inakuhusu.
 
Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
"Vilainishi vya Mashoga vinapatika bure katika Hospitali yetu ya Taifa Muhimbili" namnukuu Wazidi wa Afya Mhe Ummy Mwalimu.
 
Kwa heshma ya Sheikh wangu Ponda Issa Ponda, sitopiga kura mwaka huu japo roho inaniuma
 
Huo ni uwongo wa Chadema mwisho wao ni October
Vipi na izo ni uongo wa chadema.

Ila hakuna Rais muongo duniani Kama Jiwe anakula matapishi yake mchana kweupe
JamiiForums-1668860011.jpg
Screenshot_20201010-153905.jpg
 
Back
Top Bottom