Hahahaha....Kwa kweliHiyo ndiyo ccm chama dola mkoani Arusha
Ccm Arusha ilishazikwa ila wanaforce kingi tuAhamishe na mlima Kilimanjaro lkn ccm haitakiwi tu
Bila kusahau na jengo la AICC
Mkuu watu wamebanana sana ....Tutegemee vifo vitakavyosababishwa na suffocationHaijawahi kutokea toka tupate Uhuru ni kiama inabidi first aid wawepo na magari ya wagonjwa.
Nasikia wamesombwa na lori moja kutoka Loitoktok..Usikute hao wachache wamepatikana kwa kuwahonga ili wahudhurie tu.
Correction:Huku si ndio majaliwa alipeleka boda boda min mbili dah mda mwingine rushwa is not everything
Asante Arusha
Kutokana na shahuku kubwa ya kumuona mbunge wao, watu hawakutaka kusubiri kibali cha kusubiri mpaka JumamosiHuo mkutano una kibali?
Tusishangae pia akasema AICC ni ya kubomoa piaAhamishe na Makao Makuu ya EAC apeleke Chato..
na kule wanakokula viwavijeshiHongereni wana arusha. Sasa hivi mkoa unaotuabgusha ni kule tu kwa wakina bashite.
Hahahaha. Yeye hutamani kuwa kila kitu.Mzee mwenye nyumba akiona hii picha anatamani angekuwa rc wa Arusha