CCM Arusha yatisha

CCM Arusha yatisha

Huku si ndio majaliwa alipeleka boda boda min mbili dah mda mwingine rushwa is not everything
Asante Arusha
 
Mnanikumbusha ya Kagasheki kuita watu wa Sokoni kumnanga Meya akisema alimuumba mwenyewe na kumtengeneza mwenyewe wakati Amani akiwa amekaa na mke wake pale. What was the vedict. Aliyeumba pamoja na kutumia wanafunzi wa Sekondari kupiga kura shuleni, zilikamatwa na akakosa. Amani ni Diwani. Majimbo mengine yangekuwa na watu kama Bukoba mjini wangekata hilo goli la mkono. Dodoma nina kumbukumbu ya kupiga kura kwa mtu fulani lakini kuangalia ubaoni niliyempigia kura kapata 0 that was 1995.
 
Duuu yaani hata kura yako wakaiba?
 
Kuna taarifa niliiona huku inasema mkulu anataka Tanapa itoke Arusha ihamie Serengeti,sasa akiiona hiyo nyomi hapo nadhan hata mlima Meru utahamishwa.
 
Ahamishe na mlima Kilimanjaro lkn ccm haitakiwi tu
 
Back
Top Bottom