CCM Arusha yatisha

CCM Arusha yatisha

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,266
Reaction score
98,318
Mbunge wa viti maalum ccm mjini Arusha ameitisha mkutano kwa wana Arusha ili wampatie kero zao ili azipeleke bungeni,angalieni hiyo nyomi
8427d4c8b7604b6154c56185c46c18bb.jpg
227bf5e637a6dcf7ede085fecb802f95.jpg
 
Hongereni wana arusha. Sasa hivi mkoa unaotuabgusha ni kule tu kwa wakina bashite.
 
Haijawahi kutokea toka tupate Uhuru ni kiama inabidi first aid wawepo na magari ya wagonjwa.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kwakweli
maake watu watakanyagana sana na kukosa hewa
 
Hapa arusha tunatafuta ela tu mbunge yuko uraian hatuna lomoni nyingi tunapiga kazi kazi bampa tu bampa
 
Back
Top Bottom