CCM Arusha Kuvunja Chungu

usitutishie nyau.hata siku moja. kula kwa magamba kura chadema. hahahahahaha wahenga walisema cha MJINGA HULIWA NA MJANJA. VIVA CHADEMA VIVA ARUSHA:music:
Habari zilizonifikia ni kwamba, wapiga kura wote waliopokea chochote kutoka CCM Arusha na kugoma kuipigia CCM kura, watakumbwa na chungu hicho..ole wako kama ulipokea chochote, chungu kitakula familia yako..hatari..:love:
 
Hili litamkumba hata aliyeyoa cho chote. Hatapona mtu.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hakuna ujinga kama huu katika karne hii ya sayansi na teknolojia.Hatishwi mtu nyau.Eti kuvunja chungu,hata mapipa vunjeni.Mmezoea rushwa,wizi na ujangili. Hawa ndo wauaji wakubwa,washirikana.Kwa hiyo damu ya Soweto hapo ya Arusha ilikuwa ni tambiko lenu la ushindi.Nadhani mnahusika na mauaji ya maalbino.
 
Uchawi hauna nafasi ndani ya CCM. Acha kuchafua chama chetu kijana!

Juzi ktk kituo cha kupiga kura ktk shule ya msingi Themi wakati wa kupiga kura tulimkuta kada wa ccm na green guards wakimlinda mzee mmoja anayesadikiwa ni gagula ambapo ktk njia panda husika mzee uyo alionekana akifanya mambo ya ajabu kama kupasua nazi na kunuwia maneno fulani yasiyoeleweka wakiamini kuwa ccm huenda ingeshinda kwa uchawi lakini ikwa ndivyo sivyo.
 
Habari zilizonifikia ni kwamba, wapiga kura wote waliopokea chochote kutoka CCM Arusha na kugoma kuipigia CCM kura, watakumbwa na chungu hicho..ole wako kama ulipokea chochote, chungu kitakula familia yako..hatari..:love:

Tilipokea, timekula na kura hatukuwapa, acheni kibunja chungu bunjemi ndoo, mmetupa machunhu yetu,
mlaaniwe kwa shida mlozotupatia kwa 50yrs
 
hela ya kifisadi haiwezi kumdhuru alie ila kihalali kwa shughuli haramu.
 
Habari zilizonifikia ni kwamba, wapiga kura wote waliopokea chochote kutoka CCM Arusha na kugoma kuipigia CCM kura, watakumbwa na chungu hicho..ole wako kama ulipokea chochote, chungu kitakula familia yako..hatari..:love:
Vitisho vya mganga wa kienyeji.... Wanatishia wananchi nyau..Mchawi wao maji marefu arumeru maji yalimshinda!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom