CCM Arusha Kuvunja Chungu

CCM Arusha Kuvunja Chungu

ushirikina ndiyo njia pekee iliyobaki kwa magamba hasa baada ya wananchi kuondoa woga hivyo kuendelea kumpuuza Chagonja .
 
Uchawi hauna nafasi ndani ya CCM. Acha kuchafua chama chetu kijana!

Ndugu nakuheshimu sana, Ila naomba ufanye uchunguzi ukitaka nitakupa mpaka eneo husika ukapate taarifa halisi jinsi wananchi zaidi ya 500 walivyosumbuliwa na mzuka wa mheshimiwa mmoja alioutumia ktk uchaguzi 2010. Baada ya kukaliwa kikao na wanachama akaambiwa autoe mtaani la sivyo watamshughulikia wao, Baada ya kutoweka mndumba huo yeye amekuwa mgonjwa mpaka sasa. Kama unawajua wanakondoo wako utaweza kumtambua.
 

Juzi ktk kituo cha kupiga kura ktk shule ya msingi Themi wakati wa kupiga kura tulimkuta kada wa ccm na green guards wakimlinda mzee mmoja anayesadikiwa ni gagula ambapo ktk njia panda husika mzee uyo alionekana akifanya mambo ya ajabu kama kupasua nazi na kunuwia maneno fulani yasiyoeleweka wakiamini kuwa ccm huenda ingeshinda kwa uchawi lakini ikwa ndivyo sivyo.

Duh..ngonyani a.k.a Deep Water vipi?nae zimegonga kwa CDM?Mrithi wa Sheikh Yahaya ahajachukua majukumu rasmi..angeenda Arusha km babake ili aanze onyesha majinn kila mnara, kila miti etc.
 
Basi huku Kata ya Elerai Tutakufa wakazi wa kata yote maana tulihongwa barabara ya Lami inayotoka Majengo ya chini hadi Sakina.
 
Back
Top Bottom