CCM against all odds

CCM against all odds

Firigisi

Member
Joined
Feb 13, 2009
Posts
91
Reaction score
33
Nguvu ya kijani na manjano

force-nature-21968882.jpg
 
Scott Thomas alikuwa graphic designer kwenye media team ya Obama wakati wa campaign , kuna tatizo!?
Kampeni ni kujipanga, ki tekinolojia zaidi!

Wamebase sana huko kuliko kwenye kuwatumikia wananchi...
 
Kuendeleza kwao vita dhidi ya ufisadi na kuwawajibisha mafisadi ni mojawapo ya kuwatumikia wananchi..

Mafisadi ambao baada ya kuhamia chadema wamekuwa sio mafisadi tena?
Yoyote anaitwa fisadi akiwa ccm akiwa ukawa mtakatifu.
Kwa wanaoshtuka wameshagundua hila hizi.
 
Back
Top Bottom