CCM acheni propaganda za kitoto

Malisa Godlisten

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
201
1,534
Niliwahi kusema hapa kwamba ukitaka kuwa muongo lazima uwe smart sana kichwani. Huwezi kuwa muongo halafu kilaza, utaumbuka tu. Bahati mbaya wafuasi wengi wa CCM ni vilaza, kwa hiyo kila wakibuni uongo wanaishia kuumbuka.

Katika maandalizi ya UKUTA, serikali ya CCM na vyombo vyake wanafanya kila juhudi kuzima operesheni UKUTA. Wanatumia vitisho, na baada ya kuona vitosho havifanikiwi wameanza kutumia propaganda, bahati mbaya propaganda hizo ni za kitoto sana. Serikali ya CCM na vyombo vyake vya Dola vimeamua kuicheza ngoma ya Chadema kama alivyosema Hussein Bashe jana.

Wapiga ngoma ni Chadema, wanaochezeshwa ngoma hiyo ni serikali ya CCM na vyombo vyake vya dola. Kuna methali ya kiswahili isemayo "janja piga ngoma, jinga cheza". Ktk suala hili la UKUTA haihitaji degree kujua nani "janja" na nani "jinga".

Bahati mbaya CCM wamecheza ngoma hiyo vibaya na kuishia kujidhalilisha. Ngoma inayopigwa ni "Reggae" wao wanacheza "Singeli" #Shame. Kuna propaganda 3 ambazo wamezibuni ili kukabiliana na UKUTA baada ya kuona mbinu ya vitisho imeshindikana.

#Propaganda_1 ni kushauri UVCCM waitishe maandamano na mikutano ya hadhara nchi nzima August 31 ili kumpongeza Rais JPM. Hii ni mbinu ya kitoto sana. Lengo hapa ni Polisi wapige marufuku maandamano hayo ya UVCCM ili wapate "moral authority" ya kupiga marufuku maandamano ya UKUTA pia.

#Propaganda_2 ni kituko cha text inayodaiwa kuwa wa Mbowe akichati kwenye group liitwalo September. Hii text inahitaji ujinga wa kiwango cha PhD ili uamini imetoka kwa Mbowe. Kwanza mpangilio wa maneno ni wa hovyo (hauna mantiki), kuna makosa mengi ya uandishi. Nina hakika text hiyo si ya Mbowe na hawezi kufanya ujinga wa aina hiyo. Hili group limeanzishwa na "wahuni" wachache pale Lumumba wakajipa majina ya viongozi wa Chadema (huyu Mbowe, huyu Baregu, huyu Lema) kisha wakaanza kuchat. #Shame.!

#Propaganda_3 ni kuhusu ticket ya ndege inayodaiwa kuwa ya Mbowe. Hoja hii ya ticket anaijibu kamanda Benjamin Mbezi. Kamanda Mbezi anasema hii sio "ticket" ni "boarding pass" ambayo mtu hupewa akiwa ndani ya ndege tayari. Mtu ambaye hajawahi kupanda ndege ndo anaweza kudanganywa kuwa hii ni ticket. Aliyetengeneza inaonesha hajawahi kusafiri kwa ndege kabisa. Kazoea mabasi ya "Najuminisa" sasa anataka kufananizha ticket zake za mabasi na ndege.

Angalia makosa haya:

1.Jina la Mbowe limekosewa, badala ya kuandika "Mbowe" wameandika "Mbowie". Hili ni kosa kubwa sana kwenye usafiri wa anga kwani huyo ni mtu mwingine. Unapokata tiketi ya ndege hasa kwa ndege za kimataifa huwa hawakuulizi jina bali unaingiza jina mwenyewe kama lilivyo kwenye passport na huwa unaandika na namba ya passport ili kuwasaidia kuhakiki immigration kabla hujasafiri.

2. Kosa la pili ni kuwa katika tiketi za Ndege, majina huwa yanaandikwa kwa herufi kubwa( kama umewahi kusafiri kwa ndege angalia boarding pass yako kwa ushahidi). Katika tiketi hii imeandikwa kwa herufi ndogo hili kosa pia la kuonyesha kuwa aliyeandika tiketi hii hajawaji kusafiri na ndege.

3. Kosa la tatu ni kuwa katika tiketi za ndege, cheo cha mtu huwekwa mwisho. Mfano. ingeandikwa hivi: FREEMAN/MBOWE MR lakini kwa sababu jamaa aliyetunga hii ticket ni zwazwa akaandika Mr.Freeman Mbowe. Hahahaah.!

4. Kosa la nne ni kuwa kila tiketi ya ndege lazima ionyeshe namba ya kiti ya msafiri. Hii haina.

5. Mwisho tiketi ya ndege za kimataifa hata za ndani mara nyingi huonyesha mlango (gate) ambalo msafiri atatumia kupandia ndege.

Kwa hoja hizo huyo aliyebuni hiyo tiketi kakosa mantiki na ni muongo, mjinga na mshamba. Mwambieni ticket za ndege haziandikwi kama ticket za mabasi ya mwendo kasi.!

Narudia, ukitaka kuwa muongo jitahidi uwe smart sana. CCM uongo hawauwezi maana they are not smart at all. Asilimia kubwa ni vilaza kwa hiyo wakibuni propaganda wanaishia kuumbuka tu. #Shame.!

Malisa G.J
 
Attachments

  • 1471936431946.jpg
    1471936431946.jpg
    51.7 KB · Views: 46
Hahahaha Malisa hata wew tukianza kuchambua maandishi utasema siyo wewe uliyoandika, utadai uwa wewe huweki koma wa nukta
 
Mshamba wewe umachanganya ticket na boarding pass....boarding pass ndo inaonyesha hadi gate pamoja na seat #.
 
2. Kosa la pili ni kuwa katika tiketi za Ndege, majina huwa yanaandikwa kwa herufi kubwa( kama umewahi kusafiri kwa ndege angalia boarding pass yako kwa ushahidi). Katika tiketi hii imeandikwa kwa herufi ndogo hili kosa pia la kuonyesha kuwa aliyeandika tiketi hii hajawaji kusafiri na ndege.

Mkuu, hapa umevurugwa kabisa. Sijui kama unaelewa maana ya Boarding Pass na Tiketi
 
Niliwahi kusema hapa kwamba ukitaka kuwa muongo lazima uwe smart sana kichwani. Huwezi kuwa muongo halafu ******, utaumbuka tu. Bahati mbaya wafuasi wengi wa CCM ni ******, kwa hiyo kila wakibuni uongo wanaishia kuumbuka.

Katika maandalizi ya UKUTA, serikali ya CCM na vyombo vyake wanafanya kila juhudi kuzima operesheni UKUTA. Wanatumia vitisho, na baada ya kuona vitosho havifanikiwi wameanza kutumia propaganda, bahati mbaya propaganda hizo ni za kitoto sana. Serikali ya CCM na vyombo vyake vya Dola vimeamua kuicheza ngoma ya Chadema kama alivyosema Hussein Bashe jana.

Wapiga ngoma ni Chadema, wanaochezeshwa ngoma hiyo ni serikali ya CCM na vyombo vyake vya dola. Kuna methali ya kiswahili isemayo "janja piga ngoma, jinga cheza". Ktk suala hili la UKUTA haihitaji degree kujua nani "janja" na nani "jinga".

Bahati mbaya CCM wamecheza ngoma hiyo vibaya na kuishia kujidhalilisha. Ngoma inayopigwa ni "Reggae" wao wanacheza "Singeli" #Shame. Kuna propaganda 3 ambazo wamezibuni ili kukabiliana na UKUTA baada ya kuona mbinu ya vitisho imeshindikana.

#Propaganda_1 ni kushauri UVCCM waitishe maandamano na mikutano ya hadhara nchi nzima August 31 ili kumpongeza Rais JPM. Hii ni mbinu ya kitoto sana. Lengo hapa ni Polisi wapige marufuku maandamano hayo ya UVCCM ili wapate "moral authority" ya kupiga marufuku maandamano ya UKUTA pia.

#Propaganda_2 ni kituko cha text inayodaiwa kuwa wa Mbowe akichati kwenye group liitwalo September. Hii text inahitaji ujinga wa kiwango cha PhD ili uamini imetoka kwa Mbowe. Kwanza mpangilio wa maneno ni wa hovyo (hauna mantiki), kuna makosa mengi ya uandishi. Nina hakika text hiyo si ya Mbowe na hawezi kufanya ujinga wa aina hiyo. Hili group limeanzishwa na "wahuni" wachache pale Lumumba wakajipa majina ya viongozi wa Chadema (huyu Mbowe, huyu Baregu, huyu Lema) kisha wakaanza kuchat. #Shame.!

#Propaganda_3 ni kuhusu ticket ya ndege inayodaiwa kuwa ya Mbowe. Hoja hii ya ticket anaijibu kamanda Benjamin Mbezi. Kamanda Mbezi anasema hii sio "ticket" ni "boarding pass" ambayo mtu hupewa akiwa ndani ya ndege tayari. Mtu ambaye hajawahi kupanda ndege ndo anaweza kudanganywa kuwa hii ni ticket. Aliyetengeneza inaonesha hajawahi kusafiri kwa ndege kabisa. Kazoea mabasi ya "Najuminisa" sasa anataka kufananizha ticket zake za mabasi na ndege.

Angalia makosa haya:

1.Jina la Mbowe limekosewa, badala ya kuandika "Mbowe" wameandika "Mbowie". Hili ni kosa kubwa sana kwenye usafiri wa anga kwani huyo ni mtu mwingine. Unapokata tiketi ya ndege hasa kwa ndege za kimataifa huwa hawakuulizi jina bali unaingiza jina mwenyewe kama lilivyo kwenye passport na huwa unaandika na namba ya passport ili kuwasaidia kuhakiki immigration kabla hujasafiri.

2. Kosa la pili ni kuwa katika tiketi za Ndege, majina huwa yanaandikwa kwa herufi kubwa( kama umewahi kusafiri kwa ndege angalia boarding pass yako kwa ushahidi). Katika tiketi hii imeandikwa kwa herufi ndogo hili kosa pia la kuonyesha kuwa aliyeandika tiketi hii hajawaji kusafiri na ndege.

3. Kosa la tatu ni kuwa katika tiketi za ndege, cheo cha mtu huwekwa mwisho. Mfano. ingeandikwa hivi: FREEMAN/MBOWE MR lakini kwa sababu jamaa aliyetunga hii ticket ni zwazwa akaandika Mr.Freeman Mbowe. Hahahaah.!

4. Kosa la nne ni kuwa kila tiketi ya ndege lazima ionyeshe namba ya kiti ya msafiri. Hii haina.

5. Mwisho tiketi ya ndege za kimataifa hata za ndani mara nyingi huonyesha mlango (gate) ambalo msafiri atatumia kupandia ndege.

Kwa hoja hizo huyo aliyebuni hiyo tiketi kakosa mantiki na ni muongo, mjinga na mshamba. Mwambieni ticket za ndege haziandikwi kama ticket za mabasi ya mwendo kasi.!

Narudia, ukitaka kuwa muongo jitahidi uwe smart sana. CCM uongo hawauwezi maana they are not smart at all. Asilimia kubwa ni ****** kwa hiyo wakibuni propaganda wanaishia kuumbuka tu. #Shame.!

Malisa G.J
Mimi nasema wewe mtoto wa juzi Malisa Godlisten tunaomba uwe mbele kwenye maandamano na useme wazi utakuwa mkoa gani ukiandamana ili uoneshwe adabu inavyo funzwa..

Acheni Maneno mengi nendeni barabarani mnasubiriwa.. Nakumbuka hata kipindi kile cha kutaka kuzuia mkutano wa CCM mlipiga mikwara kama hii na wewe ukiwepo lakini mwisho wa siku hakuna lolote..

Sasa nasema wewe mchagga acha kupiga kelele kwenye mitandao ingia barabarani ukojoleshwe...
 
Hapa ndipo utakapobaini tofauti ya kiuweledi katika nyanja mbalimbali kati ya vijana wa Umagambani na wale Makamanda wa ukweli, CHADEMA.
 
Muda ndio jibu sahihi; Hoja ni kuwa suala la ukuta litayeyuka kama suala la kusubiria matokeo ya uchaguzi ndani ya mita 200,mwaka 2015.
 
Mimi nasema wewe mtoto wa juzi Malisa Godlisten tunaomba uwe mbele kwenye maandamano na useme wazi utakuwa mkoa gani ukiandamana ili uoneshwe adabu inavyo funzwa..

Acheni Maneno mengi nendeni barabarani mnasubiriwa.. Nakumbuka hata kipindi kile cha kutaka kuzuia mkutano wa CCM mlipiga mikwara kama hii na wewe ukiwepo lakini mwisho wa siku hakuna lolote..

Sasa nasema wewe mchagga acha kupiga kelele kwenye mitandao ingia barabarani ukojoleshwe...
Muda ndio jibu sahihi; Hoja ni kuwa suala la ukuta litayeyuka kama suala la kusubiria matokeo ya uchaguzi ndani ya mita 200,mwaka 2015.
 
Ngoja aje amtoe nduki Malisa
Katuletea boarding pass badala ya tiketi.

Jana nilimwambia TataMadiba hizi tiket za kuchonga zinaweza kutengenezwa hata na baamedi aliyeachiwa kulinda computa ya meneja wake wa baa.
 
tutajuaje kama mmetengeneza nyie ili mjifanye kukanusha kumbe original ipo? tusubiri kama alivyosema Lizaboni tuone kama MBOWE atakuwepo?
 
Back
Top Bottom