CCK yaingia Arusha kwa kishindo

Mkuu waulize wanajua walivyotendewa viongozi wa late ccj aka cck? hiki chama ni ubabaishaji mtupu na njaa tupu, nikiambiwa nikilinganishe na usafiri gani nitakifananisha na bodaboda ambayo huamini kama safari utaifika salama au

Ni Mtazamo tu, but time will tell
 

Maisha ni mapambano na siku zote mwisho utajulikana
 
Mmewahi sana hata watu hawawajui! Halafu nyie si mnasubiri watakaojitoa ccm?

mawazo mgando hayo! ni vyema ungeenda kukojoa kwanza alafu ukalale! umesahau kuwa slaa ana damu ya chama cha magamba? aliyekuwa mke wake? rose?? alikuwa diwani wa chama cha magamba! baregu je? katokea wapi? mbowe??? we vipi wewe nyambaf
 

nadhani ulikuwa mmoja wao!
 
Cck-chama cha kisanii. Chairman-sita, gsecretary-mwakyembe, uenezi- nape, wajumbe - olesendeka, kilango, bi sherukindo, ngwajema na mpendazowe. Mfadhiri ni kingunge ngombare. Ngwajema anomba kuwa mweka hazina aongezee hama.

Acha ****** na utani usiofaa, CCK Chama Cha Kijamii, come on! usijishughulishe sana na majina ya watu deal na issues and ideas
 
Cck-chama cha kisanii. Chairman-sita, gsecretary-mwakyembe, uenezi- nape, wajumbe - olesendeka, kilango, bi sherukindo, ngwajema na mpendazowe. Mfadhiri ni kingunge ngombare. Ngwajema anomba kuwa mweka hazina aongezee hama.

Acha ****** na utani usiofaa, CCK Chama Cha Kijamii, come on! usijishughulishe sana na majina ya watu deal na issues and ideas
 
Hv mw/kiti wenu taifa Ni nani? Na inakuwaje mnajitapa kuchukua Arumeru ilhali hata Bendera yenu tu waTZ hawaijui na Kama wapo Ni wachache sana? C ndio NINYI mlotoka ccj? Baada ya kunyimwa usajili mkakimbilia kuanzisha cck? Vp, wenzenu Wana ruzuku NINYI Je? Kampeni mtaendeshaje maana Cku hizi bara bila helkopta hujashinda bado!! MTIHANI, KAZI MNAYO
 
nadhani ulikuwa mmoja wao!


Ndg. Paul Mafie, Mimi ndiye Akitanda, nafahamu wewe ulikuwa Mwenyekiti wa Muda Mkoa wa Arusha, na kwa kweli nakuheshimu kwa maana nafahamu mchango wako mkubwa kwa CCJ ambayo ilifutwa. Hivi wewe huamini kama movement huwa zinarithiwa na kufanikiwa? Why not? Kumbuka Mawazo ya Kimapinduzi siko zote hayafi! Tuko front, tunasonga mbele brother!
 
tumeichoka CDM,issue ya katiba ndo ilonifanya nikate tamaa na hawa wafanyabiashara wa siasa wa CDM,kwenda ikulu wakahongwa na kurudi bungeni kupitisha madudu yale waloyapinga mwanzo???? nini hii?? afadhali CCK ije arusha

jamani antie husna hata weye?
 

Hebu tuwe wakweli,kwa jinsi na muda ccm iliokaa madarakani imejijengea mtandao mkubwa saana katika kila kona ya nchi hii.
Kwa hiyo wale wanaonufaika na ccm kwa maslahi binafsi ni wengi mno na wanatosha kuunda chama cha kisiasa ambacho moja ya mikakati yao inakuwa ikiwahakikishia kutokaa mbali na pale kijiweni ili kulinda maslahi yao,na hapo ndio tunapoona mambo ya chama cha ki..sadi.
Ili yasiwakute yale ya kufikishwa mahakamani ndani ya machela
 
tatizo la hawa wa vidole viwili wenyewe huwa hawataki kupingwa,ukiwapinga tu,wewe CCM B,nakumbuka pia CUF kipindi flani walikuwa wakipita wakitangaza kuwa chadema ni ccm,hata cdm pia ishawahi kutangaza NCCR NI CCM B,kwa hiyo hapa kwa cck kuitwa ccm hakuna jipya!
 
wazuri hao wameunddwa rasmi kui replace CUF, wagombeaa wakiwa wengi ndio kupeta kwa CCM.

Sitta na Mwakyembe wahusika wakuu baada ya kulishwa vumbi CCM. Siita hata vikao vya CCM hawamsikilizi tena, kamalizwa vibaya sana kisiasa, na Mwakyembe ndio hivyo tena, hoi bin taabani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…