KAMANDA HANGA
Senior Member
- Sep 22, 2011
- 158
- 58
Umetokea msikiti gani weye?
Naona washindani wa CUF na CDM wanaongezeka kwenye chaguzi.
namba moja anajulikana
OTIS
CCK kama cha cha siasa wana haki ya kuweka mgombea Arumeru, wangekaa meza moja na Chadema waweke mgombea mmoja, kila mmoja akiingia kivyake watagawa kura na hatimaye CCM wanashinda.
Mmekuja kudhoofisha upinzani nini labda hizo ni mbinu za CCM, karibuni wacha mikwala!!!tunachokitaka hapa arusha ni siasa za kistaarabu na kampeni tulivu,malumbano hapa hayana nafasi make chadema washatuchosha na maandamano ya kutwa mara tatu!
fikra masaburi zinazaa mgandano wa mawazo na akili
Mmekuja kudhoofisha upinzani nini labda hizo ni mbinu za CCM, karibuni wacha mikwala!!!
Baada ya kukamilisha safu ya uongozi wa mkoa wa Arusha,CCK inatangaza rasmi kuwa tunaingia katika uchaguzi mdogo wa Arumeru kwa ajili ya kuchukua jimbo.
Mkuu waulize wanajua walivyotendewa viongozi wa late ccj aka cck? hiki chama ni ubabaishaji mtupu na njaa tupu, nikiambiwa nikilinganishe na usafiri gani nitakifananisha na bodaboda ambayo huamini kama safari utaifika salama auInaonekana wewe ndo Mtoa mada. Kila cck ikijitokeza ukumbini na wewe lazima uandike Mara moja.
Kwa mini hamuwatambulishi viongoza wenu mpaka Leo???? Natia SANA mash aka na Chama chenu. Kuna usiri gain hapo.??????? Mwanzo wenu Kama hamtarekebisha mtaishia kukiua Chama. Angelia cck wacko wapi!!!??? Usiri usiri tu
Je tuwatofautishe vipi na chama kama tadea, TLP na nk yaaki mna lipi jipya....kwa muktadha huu itakuwa ni ujinga uliokithiri kuiunga chadema au cuf,au ccm mkono,make washapoteza mvuto katika siasa za kistaarabu,bora cck iingie kivyake [/h]
Nina wasiwasi na uelewa wako mbaya zaidi unajidai unajua kumbe mweupe kama baba mwanaasha......je kuwa na vyama 100 ndiyo mawazo ya watanzania yatakuwa yamesikilizwa...je marekani wako wangambi maana unaonyesha una takwimu za kutosha, je wana vyama vya siasa vingapi?haya ndo mawazo mgando,unataka kunambia vyama vya siasa ( yaani mawazo 19) yanatosha kwa watanzania milioni 45?? fkiri vizuri we mbabu!
kwanza wewe ni Al-queda kwa mjibu wa CCMkama kawaida ya magwanda,udini na ukabila ndo nyenzo zenu?
Toa alama ya kuuliza.....NApe behind the scene?
Baada ya kukamilisha safu ya uongozi wa mkoa wa Arusha,CCK inatangaza rasmi kuwa tunaingia katika uchaguzi mdogo wa Arumeru kwa ajili ya kuchukua jimbo.[/QUOT
Nendeni mkachukue jimbo - halina wenyewe CCM/CDM/CUF vyote vishachokwa
Hujui kuwa CCK ni CCM B!! Ni mkakati wa wanafikiri kwamba watapigwa chini kwenye uongozi wa CCM 2012 na baadaye 2015. Hivyo wanaanza kujiandaa mapema ili yasije wakuta yale ya CCJ 2010. Safari hii mkakati umeenza mapema. Wewe huoni kwa nini wameng'ang'ana na hiyo CC....??!!!
sema nimechoka na chadema,sio tumechoka.umechoka mwenyewe,p...mbf.a city'z belong to cdm.viva cdm
Cck-chama cha kisanii. Chairman-sita, gsecretary-mwakyembe, uenezi- nape, wajumbe - olesendeka, kilango, bi sherukindo, ngwajema na mpendazowe. Mfadhiri ni kingunge ngombare. Ngwajema anomba kuwa mweka hazina aongezee hama.
Ni hoja mbovu kama hizi ndizo nasikia baadhi ya watu wa Chadema wakijiandaa kuzitumia kumaliza chama kingine chochote ambacho kitaonekana tishio kwa safari yao ya kwenda Ikulu 2015. Wenye mikakati hii hawana ufahamu kwamba hoja hii inajenga kuliko kubomoa kwani kuna makundi makubwa tu ya wananchi wasio na tatizo na CCM, bali baadhi ya viongozi. Ndio maana leo hii viongozi walio safi ndani ya CCM wakihamia chadema, watapita kwa kishindo. Kwani hufahamu kwamba Mtei, Bob Makani, Mbowe, Slaa, at one point walikuwa wanachama wa CCM? Tujifunze Kujifunza.