Kitila Mkumbo
JF-Expert Member
- Feb 25, 2006
- 3,355
- 1,990
Mkulu Kitila Mkumbo,
Hivi nchi hii itaendelea kwa mtindo huu wa kutaka kufanya mambo kwa kificho na kichinichini hadi lini? Ni aibu sana kwa nchi ambayo inajitapa kwamba inaendesha nchi kwa misingi ya utawala bora kwa kufuata demokrasia, kufanya michezo ya kuigiza ya aina inayoendelea hivi sasa nchini mwetu. Tunaipeleka wapi Tanzania yetu?
Kuna kificho zaidi ya haya wanayofanya CCJ? Watu walio behind CCJ wanaogopa kujitokeza, wanawatanguliza watu ambao sio wanasiasa, matokeo yake wanafanya madudu hadi yanakera, sasa nani anayejifica hapa? Mimi binafsi hawa CCJ wananikera kwa sababu wame-deviate attention yetu. Badala tu-focus kwenye mambo ya msingi ili uchaguzi ujao tuimarishe bunge letu kwa kuongeza wapinzani, tumebaki tunajadili CCJ ambayo haipo!! It's is a shame upon us all.
realy? kila la heri. Lakini huwezi fanya haya ukiwa huna usajili mkuu. Hapa ndipo nakushangaa. Haya mengine nadhani nyakati zingine wafanya kujifurahisha tu. Nyie ni sawa na TLP tu.kwanini miaka 15 baadaye upinzani haujaimarika? Ukiangalia sana utaona kuwa ujio wa CCJ ndio utaimarisha upinzani aidha iwe na usajili wa kudumu au la kwa sababu kwa upande mmoja inawalazimisha wapinzani wengine kujipima wao wenyewe na kuona nini wanatakiwa kufanya na upande wa pili wanaipa ujumbe CCM kuwa kuna zaidi ya upinzani nchini.
Kama mnategemea huruma ya wananchi eti Ccj ifutwe ndipo muanze kulia, hakuna mtu atayekifuta chama chenu Ccj itajifuta yenyewe naturally, ni kama mgonjwa wa ukimwi utahangaika kumpa dawa zote lakini moyoni unajua hakuna dawa ya kumponyesha.Hadi hivi sasa nashangaa hakuna mwandishi aliyemuuliza "ulisema huna bajeti wala fedha za kufanya uhakiki hizi unazotumia umezitoa wapi"? hahahah kwa sababu akirudi kabla ya mwisho wa wiki hii atatangaza kukifuta CCJ na hatua yake hiyo itaungwa mkono na viongozi kadhaa wa CCM na upinzani kwa kisingizio cha kutotaka kupoteza fedha za walipa kodi kwa chama hewa. Miongoni mwa viongozi wa upinzani ambao watafanya hivyo nipamoja na wale tunaowajua sana. - Huu si utabiri ni taarifa tu.
Mkuu wangu Itikadi ni IMANI hivyo hata kama CCJ isipo sajiliwa bado wafuasi wake wataendelea kuwa na imani ya mageuzi kama walivyo batizwa.. Na itakuwa kosa kubwa kama mtatumia Utabiri wa kile kitakachotokea badala ya kujizatitia kwa yale yenye Uhakika kulingana na imani yenu..Hadi hivi sasa nashangaa hakuna mwandishi aliyemuuliza "ulisema huna bajeti wala fedha za kufanya uhakiki hizi unazotumia umezitoa wapi"? hahahah kwa sababu akirudi kabla ya mwisho wa wiki hii atatangaza kukifuta CCJ na hatua yake hiyo itaungwa mkono na viongozi kadhaa wa CCM na upinzani kwa kisingizio cha kutotaka kupoteza fedha za walipa kodi kwa chama hewa. Miongoni mwa viongozi wa upinzani ambao watafanya hivyo nipamoja na wale tunaowajua sana. - Huu si utabiri ni taarifa tu.