CCJ Iko wapi?

Watakuwa wanasubiri matokeo ya barua yao ya kulialia kwa Wazungu. Obama amtume Hillary Clinton kuingilia kati.

Kama hii ndiyo approach ambayo CCJ watakayotumia wanaweza kupata mafanikio kwani hata viongozi wa Serikali ni watumishi wa kina Obama na Clinton na wanajulikana kuwa ni ombaomba wa kimataifa. Hivyo kama CCJ watafanikiwa kuwashawishi kina Obama kuingilia kati wanaweza kufanikiwa sana.
 
Haraka haraka haina mbaraka, inabidi wajipange upya kama wanataka kuwa wapinzani wa kweli.Best Wishes.:dance:
 
Kaua watu kielimu, kaua watu wakati wa operation vijiji (nyumba na mali pamoja na watu walikufa) embu tuondeleeni balaa lenu hapa kama "kumsifia mpelekeni kanisani kwenu" maana nyinyi wehu wakusifia kila mwovu..lol
 
CCJ ni zao la waraka wa kikristo haitafika mbali ...as long as inawategemea wakatoliki tu..Tanzania ni zaidi ya Maaskofu..
 
Kwenye red nakubaliana nawe!!
kwingine naona ni jazba tu! kaanzishe topic kule kwenye jukwaa la dini!~
 
CCJ ni zao la waraka wa kikristo haitafika mbali ...as long as inawategemea wakatoliki tu..Tanzania ni zaidi ya Maaskofu..
Prove it! hapa tunaongelea siasa. Siasa iliyokuja kwa kuwaaminisha watu kuwa, inatija na inaweza kuibadilisha nchi hii

wewe unaleta dini na udini!
 
Umesema kweli mzee mi ni dhani hayo juu ni kweli tupu ,Kama Mpendazoe hajafukuzwa uanachama na CCM, mpaka leo nina mashaka wanasema wanangoja barua yake
 
Umesema kweli mzee mi ni dhani hayo juu ni kweli tupu ,Kama Mpendazoe hajafukuzwa uanachama na CCM, mpaka leo nina mashaka wanasema wanangoja barua yake
So, the drama is ON?
 
Kaua watu kielimu, kaua watu wakati wa operation vijiji (nyumba na mali pamoja na watu walikufa) embu tuondeleeni balaa lenu hapa kama "kumsifia mpelekeni kanisani kwenu" maana nyinyi wehu wakusifia kila mwovu..lol

Tumain, with all due respect, haya mambo ya kanisani yametoka wapi? Nadhani mada hapa ni CCJ wamepotelea wapi? Kama kuna mtu kamsifia Nyerere in the course of kuchangia, ni mtazamo na mapenzi yake!! Usitoke nje ya mada mkuu, udini wa nini?

This is too low!!
 
CCJ ni zao la waraka wa kikristo haitafika mbali ...as long as inawategemea wakatoliki tu..Tanzania ni zaidi ya Maaskofu..

Mkuu una ugomvi na wakisto eeh!!!
Si utundike kitu kule kunako husika?!!!
 
Mpotezee, huwa ndo zake kuchafua hali ya hewa kwenye vitu serious!!

Naona wakaao viti vya Mbele pamoja na MMKJJ anataka kutuambia (japo hajasema wazi) kwamba kuna Moto unawashwa, japo wa mafuta mazito utakolea baadae! Lakini washauri, mbona walijaribu kuja kwa moto wa gas, imekuwaje tena? au jamaa walitishia kulipua mtungi?!!
 
Mkuu tukimuacha huyu atatuharibia shughuli!!! Yeye anajua kabisa sehemu ya kubandika dini na yote yanayohuana nayo, why here?
Tena wakati kila mtu chuma kimeshika moto...!!!

Mkuu MKJJ, tupe basi japo dondoo za kobe kuinama!!!!
 
Jamani bado tunahangaika kusajili chama ambacho hakipo..CCJ imeshajifia kifo cha asili kitakuja kuibuliwa mwakani na watu wengine kabisa,sio zile sura mlizozisikia na kuziona,nyingine kabisa...Hebu tuache kuendelea kupoteza muda na hii hoax...chama kilichoanza na kufoji wanachama mnategemea kitakuwa chama kweli..Kitafoji mpaka mikataba zaidi ya CCM walivyofoji..Hakifai,kilikuwa chama cha kufikirika kisichokuwa na wanachama,bali blah blah tu...
 
CCJ ni zao la waraka wa kikristo haitafika mbali ...as long as inawategemea wakatoliki tu..Tanzania ni zaidi ya Maaskofu..
Fikra kama hizi ni za mtu mnyonge ndani kabisa ya mtima wake. Mtu wa aina hiyo huwezi kumsaidia maana anachoona mbele yake siku zote ni kitu kimoja tu ambacho amekiweka ndani ya huo moyo wake mnyonge...wasiwasi!!! Ana shaka na kila jambo hata lisilo na shida naye. Maaskofu, ni smart kuliko unavyofikiria wewe ndugu yangu. Never underestimate their wisdom and power. Trust me,they have huge power without guns and ammunitions.
 
Kaua watu kielimu, kaua watu wakati wa operation vijiji (nyumba na mali pamoja na watu walikufa) embu tuondeleeni balaa lenu hapa kama "kumsifia mpelekeni kanisani kwenu" maana nyinyi wehu wakusifia kila mwovu..lol

Nani anayeua Taifa hili kama hawa mazao ya wala rushwa? Ukweli hauwezi kuzimwa kwa fitna na hila au mizengwe. Nyerere hakuua mtu yoyote kielimu.Kamaulikuwa hutaki kusoma angekusaidiaje????? Kama ulikuwa mvivu angekusaidiaje???
 
Kwenye red nakubaliana nawe!!
kwingine naona ni jazba tu! kaanzishe topic kule kwenye jukwaa la dini!~

unakubaliana kwa sababu unafikiria ni kweli au unakubaliana kwa sababu inasikika kama ni kweli? Hivi watu wameacha kufa, kutkana na maamuzi mbalimbali ya viongozi au watendaji wengine? Hivi waliokufa watoto 21 kule Tabora kwa uzembe wa serikali ya Kikwete mbona watu hata hawakumbuki?
 
Mkuu,

Ningetamani sana kuona jitihada zako zikizaa matunda lakini nahisi either hutaki kukubali kuwa hawa jamaa uliowaamini ni wababaishaji au unasubiri miujiza.Natambua sana uchungu wako kwa nchi yetu,na kauli tamu za CCJ zilikushawishi uwape sapoti ya kutosha.Unfortunately,it's a lost war.Whether mambo yanafanyika Northen Command au kutoka International Space Station,hii ni vita ya kupigana for the sake of kupigana badala ya kupigana for the sake of victory.Kumbuka hata huko Afghanistan,Warusi walitumia kila mbinu lakini hatimaye ikawalazimu wakubali matokeo.Na tupo tunaoamini the same would happen kwa coalition forces.

It's never too late to admit kwamba the CCJ guys took you for a ride.
 
Nadhani wana rely on special operations forces,drones etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…