Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,033
- 132,797
Mfalme wa wafalme (King of kings), pole kwa hofu. CCBRT haifungwi wala hakuna mpango wa serikali kuifunga, kilichopo kuna mkataba kwa serikali kusuport hosspitali binafsi ili pia zihudumie wagonjwa wa kawaida kama hospitali za umma, ndio maana karibu hospitali kubwa zote nchini, zinatoa huduma za MCH bure, sasa hata VTC CCBRT ikiwa moja wapo.
Mimi pia nimetibiwa hapo, kuna vifaa hapo havipo pengine popote Tanzania. Kuna watu wamemdanyanya Lukuvi kuwa vile vifaa vinanunuliwa kwa fedha za ruzuku ya serikali, hivyo ameandika barua Wizara ya Afya kuomba Dar es Salaam lipewe hadhi ya kimikoa 3 upande wa sekta ya afya kama ilivyo kwa mikoa ya kipolisi//TRA hiyo itapelekea serikali wasitishe/wavunje mkataba wa ruzuku ya CCBT.
Kisa ni kuwa CCBRT imeweka njia 3 za malipo kwa huduma zake. Kwa wale walala hoi, wanachangia gharama kidogo tuu. Watu wa kawaida wanalipia gharama kama hospitali private za kawaida, na wale vibosile wanatozwa gharama za juu zaidi ili kuchangia kuhudumia wale walala hoi.
Sasa vibosile wa Jiji wanakwenda pale kutaka huduma za fast track ila eti walipie gharama za chini kama walala hoi, uongozi wa hospitali umewakatalia, ukitaka kutibiwa kama mlala hoi panga foleni kama walala hoi. Na ukitaka kutibiwa kama mfalme, unanyeyekewa. Hawakubali huduma za kifalme kutaka kulipiwa gharama za walala hoi.
Wanene wa jiji hilo limewaudhi, ndipo juzi kwenye kikao cha madiwani wakapendekeza serikali ivunje mkataba na CCBRT.
Walioingia mkatyaba ni Wizara ya Afya na sio jiji, hivyo hawawezi kuusikiliza huu upuuzi
Wa Jiji.
Pale CCBRT kuna Daktari Mjerumani, Dr. Ickler ni bingwa wa mifupa Tanzania hakuna mfanowe. Kumuona Ickler kwa matakwa yako binafsi ni 140,000. Lakini Ickler huyo huyo ndiye anafanya upasuaji kwa wenye ulemavu bure. Ili kupata huduma ya Ickler bure, panga foleni kwa walala hoi na uongozi ukijiridhisha unapaswa kuhudumiwa na Ickler
Unahudumiwa bure. Ukijijia wewe mwenyewe kutaka kumuona, lazima zikutoke hizo 140,000 ila huduma nazo kiboko.
Hospitali Funga kazi zaidi ya CCBRT kwa mitambo ni Trauma Centre, Masaki,, ili huko ni kwa wenzetu wazungu tuu na mamilionea wetu wachache.