Nijuzeni wataalamu na wazoefu wa magari. Hvi kuna tofauti kubwa sna kati ya mtu anaendesha gari mfano premio yenye cc1500 na 1800 kwenye ulaji wa mafuta?. Mfano tukiweka mafuta liter 50 kila mmoja. Huyu jamaa wa cc 1500 anaweza kutembea umbali gani ukilinganisha na wa cc 1800?(other factors remain constant).
Tofauti ni kubwa sana? Au tuna woga tuu?
Tofauti ni kubwa sana? Au tuna woga tuu?