CBE yafungua Tawi Mbeya

CBE yafungua Tawi Mbeya

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji ameshiriki hafla ya Uzinduzi wa Chuo Cha biashara (CBE) tawi la Mbeya kilichopo katika Kata ya Iganzo, Wilaya ya Mbeya Mjini Mkoani Mbeya, leo tarehe 31 Julai, 2023.

Chuo hicho kimejengwa na Serikali kwa gharama ya Shilingi billion 1.4 kimezinduliwa rasmi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango.
​
20230731_191231.jpg
 
Back
Top Bottom