Catherine Ruge: Kakoko alinitishia kuniua baada ya kuibua madudu mengi TPA

Omujubi, mtu anaweza kusoma hii comment yako kwa haraka asikuelewe lakini ninahisi tungekuwa tumeendelea zaidi. Kuna viongozi wanaihujumu hii nchi utafikiri wao siyo watanzania, kwamba kuna nchi nyingine wanapeleka wanavovipora TZ. Hata aliyeazimwa koti hawezi kulitumia vibaya namna tunavyoona. Haiingii akilini, najiuliza inakuwa je kila mahali ni madudu?

Ujinga kama virusi. Unaelewa kweli maana ya ukoloni. Nyie kama hamnaga cha kuandika. Mjiue tu.
 
Sasa km ndugai anaumwa ile barua ya kwanza yenye mwandiko mkubwa barua yote nani aliandika na akaadress kwa KM chama cha magamba bdae ikapigwa U turn moja matata ikaja barua yenye small letters zote hizo barua nan anaziandika😀😀😀😀😀😀
 
Aliyekuwa mbunge wa viti maalum CHADEMA na Katibu mkuu BAWACHA ndugu Catherine Ruge amedai kwamba wakati akiwa mbunge akifanyia kazi kamati ya PAC alitishiwa kifo na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari nchini TPA ndugu Kakoko ambaye alikuja kutumbuliwa kwa tuhuma za ufisadi na kushtakiwa mahakamani.

Hali hiyo ilikuja baada ya yeye kuibua Madudu mengi ya ufujaji wa pesa katika Mamlaka hiyo na kubainisha kuwa kulikuwa na baadhi ya watumishi wazalendo wa kutoka mamlaka hiyo walikuwa wakimpa nyaraka za ndani za matumizi mabaya ya pesa ambazo Bwana Kakoko alikuwa akizificha.

Akiongea kwa njia ya mtandao kupitia mjadala unaoendeshwa kupitia mtandao wa Clubhouse, Pia ndugu Catherine Ruge alisema amedokeza anashangaa watu wakihoji alipo aliyekuwa Spika wa bunge ndugu Job Yustino Ndugai wakati yeye anafahamu kuwa yupo Katika matibabu hospitali ya Apollo nchini India na Kuna ulinzi mkali umeimarishwa katika mahali alipo mgonjwa.

Taarifa za kuugua kwa Ndugai, Catherine Ruge amedai kuwa amezipata kutoka kwa mdogo wake ambaye walikuwa wakitibiwa pamoja katika hospitali hiyo.
Kama alitishiwa kuuliwa,alitoa taarifa polisi?je ana ushahidi zaidi ya maneno yake?
 
Acha uwongo unaweza bainisha hapa ukatili wa kakoko ulikuwa wapi? Na tangu wamchunguze je alishawahi kufikishwa mahakamani? Vijana fanyeni kazi acheni majungu kwa wakubwa zenu
Amewachokozeni Warundi, haya sasa mjomba wenu mliyefikia kwake kaendazake.
 
Kwani kinga waliyojiwekea ilikuwa ya kutoshitakiwa tu, kwenye ugonjwa haihusu!!?? Huyo katoroka, bunge halijui alipo.
 
Ninasikia kuna taarifa mpya juu ya afya ya Job.
Hakuna utajiri mkubwa hapa duniani Kama afya mzuri ya MWILI na akili (no stress)
Hata Kama wallet iko quorate Kama afya inamgogoro haisaidii.. hutakwenda kwa mchepuko, bia haishuki, nyama choma haitafuniki.
 
Hakuna utajiri mkubwa hapa duniani Kama afya mzuri ya MWILI na akili (no stress)
Hata Kama wallet iko quorate Kama afya inamgogoro haisaidii.. hutakwenda kwa mchepuko, bia haishuki, nyama choma haitafuniki.
Ndiyo maana nikipata hela huwa ninavunja mifupa kwanza, kuna siku unaweza kuwa na pesa lakini nguvu ya kuvunja mifupa huna.
 
Back
Top Bottom