princess enny
JF-Expert Member
- May 27, 2012
- 1,038
- 381
Kunakaz kanambia anafanya akimaliza atakujammmhh mbona muhusika kimya kimetanda!! kwel dalili ya mvua jua!!
beibe nasty habari za jumapiliUshind ushind tuu kupiga makof mbwembwe. Za asubuhi 99 p
beibe nasty habari za jumapiliUshind ushind tuu kupiga makof mbwembwe. Za asubuhi 99 p
haya Beibe nasty ila catherine muonee huruma mwenzio!! wifi yake pole kwa kazi!! Mentor nawe ukubali yote!!Kunakaz kanambia anafanya akimaliza atakuja
haya Beibe nasty ila catherine muonee huruma mwenzio!! wifi yake pole kwa kazi!! Mentor nawe ukubali yote!!
beibe nasty habari za jumapili
Njoo ufanye interpretation mana hukos jambo weyeprincess enny i like ur observation above
mi niko poa,mbona kimya sana au ndo umefichwa....je mentor amefanikiwa?Nzuri 99p hw are u mpendwa wangu
Weeee sema lingne mi nipo hapa we ndo ulipotea sijui ndo ulikua unasalandia merritami niko poa,mbona kimya sana au ndo umefichwa....je mentor amefanikiwa?
we acha hizo bhana,nilikuwa napanga mistari ya kukutokeaWeeee sema lingne mi nipo hapa we ndo ulipotea sijui ndo ulikua unasalandia merrita
Thubutuuu usintie dhambi mim wewe mke wa jg yan siambiwi kitu juu ya huyu bwana niache kabisaawe acha hizo bhana,nilikuwa napanga mistari ya kukutokea
nifanyie basi mpango wa kunitongozea mwingine nitakupa zawadiThubutuuu usintie dhambi mim wewe mke wa jg yan siambiwi kitu juu ya huyu bwana niache kabisaa
Kaizer we acha ngoja binti aje atoe sera zake na yeye!!princess enny i like ur observation above
mmmhh!! 99 problems unataka umgeuze Beibe nasty kuwadi?? au na we umegeuka kaka yake kama mentor!!?? ngoja JG akuone!!nifanyie basi mpango wa kunitongozea mwingine nitakupa zawadi
mmmhh!! 99 problems unataka umgeuze Beibe nasty kuwadi?? au na we umegeuka kaka yake kama mentor!!?? ngoja JG akuone!!
princess enny we haya tu,vipi lakini umefunga mwezi mtukufu?mmmhh!! 99 problems unataka umgeuze Beibe nasty kuwadi?? au na we umegeuka kaka yake kama mentor!!?? ngoja JG akuone!!
nimefunga 99 Problems karibu baadae tuftur!!princess enny we haya tu,vipi lakini umefunga mwezi mtukufu?
Na ukuwadi pia wanaweza kudadadadadeki.