Catch me if you can boy

mi nilidhani u kechiwe kwa kutongozwa kumbe ukechiwe kwa kukimbizwa na gari!!!hivi uwe unaendesha trekta na mimi naendesha Ferrari nitashindwa kukupita????

Hahahaaaa I've been stiff though not all the time, kuna muda huwa naachia. Still many men fail to catch me even kwenye mitongozo, achilia mbali hii race ya magari.
Hiyo race comparison yako ni sawa na sungura na kobe obvious sungura anashinda, mie nina hatch back car not 4 wheel drive we njoo hata na benzi yako hunikamati....... I bet looh
 
Kwa mimi usingefika hata St. Peters...na kulivyokuwa hamna foleni jana ningekuyumbisha mpaka akili zikae sawa...hafu nasimama sekunde kadhaa unapiga honi mpaka, nikiondoka hapo unabaki umekariri namba....

Am inviting you for a race with Kasie, I know you can't.
 
Ukikaribia menopause utajielewa.

Si unajua kuna ambao huwa wanawahi kubalehe na kuna ambao huwa wanachelewa kubalehe kutokana na sababu moja au nyingine, sasa kwa mie Kasie nimewahi kuingia menopause, hapa nshaanza menopause nna mwaka na nusu. Upooo!!!???
 
wewe sema lini tukutane wapi tuanze race, sio blabla za maneno

Catch me if you can, from Bibi Titi road to the end of Ali Hassan Mwinyi road especialy on week ends
 
Huyo alikuwa mdebwedo au matairi yalikuwa hayazunguki..

Hhahahahaaa kama yumo humu JF anakusoma na huo ni ugomvi wenu. I love driving aisee, nimeagiza manual moja hivi nataka nianze race ya manual maana auto naona nateleza sana ile changing gera ile nasikia rahaaaa, mguu hauchezi mbali na clutch ahahahahaaa. I just love myself Kasie mie with kind of life am living. Yupiiiiiiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom