Catch me if you can boy

Catch me if you can boy

One of my weakness ni aibu, hapa nshaanza kuona aibu looh. Watu wote wananitazama wewe ukiwa unanipenda mi naona aibu... (talking in a kid tone with fingers on mouth eyesy down)

No prob rafiki, just love me but don't steal me looh.
Ahaaa ndo maana umekata vijiti kibao na kuchora chora chini na kidole gumba cha mguu! anyway count me has we chat!from now!
 
madam Kasinde yule frank mliyesoma nae akakuokoa mikononi mwa manjemba ukiwa club then akakuweka ndani miezi mitatu bado uko nae????
 
Last edited by a moderator:
madam Kasinde yule frank mliyesoma nae akakuokoa mikononi mwa manjemba ukiwa club then akakuweka ndani miezi mitatu bado uko nae????

Mie ndo maana nimesema nimeshashindikana hata familia yangu imenishindwa na kunyoosha mikono. That guy was Sam, nilimwambia politely, show fupi fupi waweza kupiga ila nikiwa soba la kukaa ndani as a wife material nimeshindwa. Hivo nilimkimbia tena japo aliumia nami nikamwambia nikiendelea kukaa hapa nitakuumiza zaidi pls love someone else, hakunijibu mie nikasepa, though tunawasiliana hapa na pale, he takes it kuwa Kasie ameshindikana.
 
Morning Ladies and Gentlemen,

Poleni na shughuli za uchaguzi na wale wanaosubiria matokeo haya msubiriue kwa amani, muwe wapole na msiwe wakali kama pilipili.

Kasinde ni mama wa makamo aged 40 plus lakini deep inside Kasie she sees herself like a 30 yrs old lady yaani she feels energetic and young na ndio maana kwa wale wanaonifatilia wamekuwa wakinisoma maneno na matendo niyafanyayo ni kama mdada wa maika 30 na wengine wamediriki kuniambia mambo ya kitoto wakati umri umeenda wakati umri wangu ni above 40 ningekuwa nimetotolesha saa hizi ningekuwa na mjukuu, hivyo kuimri mie ni bibi but deep inside am a single young lady.

Kilichonileta hapa ni moja ya jinsi ninavyojisikia, jana baada ya kutoka nyumba ya ibada nilirudi home kuandaa chakula na kupanga mambo yangu sawa kisha mchana nikatoka kwenda kutimiza haki yangu ya msingi ya kupiga kura. Nikiwa natoka kituo cha kupigia kura naenda mahali nilipokuwa na miadi na mtu fulani, ile naingia main road kwenye makutano ya Ali Hassan Mwinyi road na Bibi Titi road, akatokea kaka mmoja naye alikuwa kwenye usafiri wake akanichomekea kiasi kwamba ningekuwa kwenye speed tungegongana. Nikachukia kwanini anichomekee wakati jana barabara haikuwa na msongamano wa magari, zilipowaka taa za kijani kuturuhusu alinisoma namba nilitoka resi na nikamchomekea kwa mbele akaminya break za gafla halafu mie yuleeee break taa za salender. Ile tunaruhusiwa kutaka kuondoka ndo namuona kwa mbaali anakuja nikaondoka speed mataa ya st peter nikamuona anakuja faster akakanyaga wese hadi engine inaunguruma anipite haaaa!! nani akubali, nikakanyaga wesee mootooooo hahahahaaa aliisoma namba kama ule wimbo wa CCM hahahahaaa rahaje.

Yaani mnaweza sema nina tabia flani za kiume ila nilifurahi kumpita na hakunifikia hadi nafika mwenge hadi nafika tegeta sijamuona sijui hata aliishia wapi. Kiufupi kwa wataoboreka na tabia za Kasie kuwa kama za kiume, si kosa langu ni makuzi niliyokulia. (natoa habari ambazo sijawahi zisema hapa)

Kasinde ni mtoto wa pekee wa kike, baba yangu mzazi alikuwa anatafuta mtoto wa kike na mie ni wa 5 kuzaliwa na chini nina wadogo zangu 2 wa kiume. Baba yangu alinipenda sana sana alinipa kila alichoweza niwe binti mzuri, bad luck sikuwa kama alivotarajia. Maana kaka zangu na wadogo zangu ndo wamenifanya niwe na mfumo dume kuanzia michezo ninayocheza ni michezo ya kiume, mtazamo wa kifikra, kwenda disco, ubishi kama vile ubishi wa ligi, kupenda magari, mbinu zote na ujanja wa kiume naujua. Na kaka zangu walinifundisha kutokukubali kuonewa na kushindwa. Sasa huyu kijana aliyenichomekea na kuanzisha ligi ya race barabarani aliisoma plate namba maana sikukubali nilitoka speed na nilikuwa na over take fyuu fyuu fyuu. Halafu najisikia rahaa bin happy nilipofikanilikokuwa naenda nikanywa glass ya maji bariidiii.

Kasie says boys, catch me if you can while I know you can't. Bet me if you insist.

Kasinde.

Hope likufundisha na kugegeda wenzio
 
@kasinde kama sio...ningekukimbiza na mimi!!!
 
Am happy and enjoying the kind of life am living, you don't have to worry about Kasie, she is enjoying life. I know you can't catch me though.

Mara nyingi haya huwa ni maneno ya mfa maji.......naona umetendwa vya kutosha sasa umeamua ku-move on...ingawa siyo rahisi
 
Mara nyingi haya huwa ni maneno ya mfa maji.......naona umetendwa vya kutosha sasa umeamua ku-move on...ingawa siyo rahisi

Waaacha weeh, umejitahidi lakini kuchambua habari tajwa japo umenoa.
 
Una bahati sina gari

The way nilivo mbishi, tunaweza anzia hapo hapo mwanzo wa Ali Hassan Mwinyi road tufanye jogging hadi mbuyuni na kurudi, still najua huwezi kunikamata.
 
Kujielewa kifikra ni muhim xana kuliko kujisifia kusiko na maana....kwanza umekula??
 
Back
Top Bottom