Pole Carleen.Usinikumbushe tafadhali sana.!!
Kuna watu ni wanafki jamani mpaka aibu, halafu akitoka kukunafkia anakupigia simu mnaongea for hours maskiini,
Marafiki wameniumiza mno mpaka sina hamu.! Halafu nilijua ni wanawake tu, ukikutana na mwanaume mnafki jihesabie msiba..! [emoji23] [emoji23]
Kuna watu wanakuchekea na wanakupigia simu kila siku halafu deep down ni adui zako ila hutokaa uwahi kujua.!! Ukishakuwa adui yangu mazoea na wewe sitaki kabisa, sasa sijui mtu anawezaje ku act anakupenda on the same same time ana do shits behind your back..!!
Nadhani siyo wote baby D, ila usiombe ukutane na mmojawapo, utajuta bora wa kike mara mia tatu, nilikuwa nawaamini hivyo pia jinsia 'be' ila toka nipigwe tukio nawaogopa mno walaqhi tena!!Pole Carleen.
Nilikuwa nampango wa kutafuta marafiki jinsia pinzani kumbe huko nako hapafai[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13].
Ukiona mtu anakufanyia unafki na anakupigia simu jua hajitambui kama amefanya unafiki.
Hayo masaa unakuwa unamwongezea data nyingine maana lazima amekupigia kukusanya taarifa mpya.
Mungu Aturehemu sisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe jamaa nakuelewaga sana. Chochote unachoandika kinaonekana kimetoka kwa mtu anayejitambua na mwenye maujuzi ya kutosha.Kwanza kuwa rafiki yako wewe mwenyewe.
Mengine yatafuata.
Ukiwa na rafiki poa.
Usipokuwa na rafiki ushakuwa rafiki yako wewe mwenyewe.
Pia, urafiki maana yake si kuwa na constant contact. Mara nyingine watu wako busy na kazi, familia etc.
Watu wakishafika miaka ya kati ya ishirini naona inaweza kuwa vigumu kuwa na marafiki wengi wa constant contact. Hapo ndipo unaona mtu anapokua idadi ya marafiki wa karibu inaweza kupungua.
Kunakuwa na "social circles" za acquintances wa chuo, kazini, biashara, majirani n.k.
Mimi napendelea marafiki wachache. Imetokea tu marafiki zangu wamekuwa well connected kwenye community, na kwa kupitia wao, napata mengi ya community.
Inawezekana nimepoteza nafasi nyingi za ku advance socially kwa kukataa mialiko ya parties (from professional networking soirees to UN parties) kwa sababu siku fulani sikujisikia kuwa na mood ya mambo hayo tu.
Pia, watu wanavyoingia katika uchumba na ndoa, mara nyingi kujiweka zaidi katika uchumba, ndoa, familia kunachukua muda ambao vinginevyo ungeenda kwa marafiki.
Be your own best friend, the rest will follow.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana.Wewe jamaa nakuelewaga sana. Chochote unachoandika kinaonekana kimetoka kwa mtu anayejitambua na mwenye maujuzi ya kutosha.
Wadada mna haya mambo sana.Usinikumbushe tafadhali sana.!!
Kuna watu ni wanafki jamani mpaka aibu, halafu akitoka kukunafkia anakupigia simu mnaongea for hours maskiini,
Marafiki wameniumiza mno mpaka sina hamu.! Halafu nilijua ni wanawake tu, ukikutana na mwanaume mnafki jihesabie msiba..! [emoji23] [emoji23]
Kuna watu wanakuchekea na wanakupigia simu kila siku halafu deep down ni adui zako ila hutokaa uwahi kujua.!! Ukishakuwa adui yangu mazoea na wewe sitaki kabisa, sasa sijui mtu anawezaje ku act anakupenda on the same same time ana do shits behind your back..!!
Endelea kuchangia boss. Tuendelee kujifunza. Na uzee wangu na miaka yote niliyoishi hapa duniani bado kuna mambo siyajui na kwa mara ya kwanza najifunza kwako kama sio kuyasikia kwako.Asante sana.
Comment yako inanifanya niazimie kuchangia zaidi, kwa kuwa kuna watu wanakubali na kuoenda michango kama hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado ni rafiki yako? Anajisikiaje sasa baada ya kugundua umegundua matukio anayokupiga. Haoni hata aibu[emoji13][emoji13][emoji13]? .Nadhani siyo wote baby D, ila usiombe ukutane na mmojawapo, utajuta bora wa kike mara mia tatu, nilikuwa nawaamini hivyo pia jinsia 'be' ila toka nipigwe tukio nawaogopa mno walaqhi tena!!
Nimeshapoa mdogo wangu, those were the worst days of my life.! Ila zimenifunza hasa.!
Nadhani siyo wote baby D, ila usiombe ukutane na mmojawapo, utajuta bora wa kike mara mia tatu, nilikuwa nawaamini hivyo pia jinsia 'be' ila toka nipigwe tukio nawaogopa mno walaqhi tena!!
Nimeshapoa mdogo wangu, those were the worst days of my life.! Ila zimenifunza hasa.!
😂 😂 😂Bado ni rafiki yako? Anajisikiaje sasa baada ya kugundua umegundua matukio anayokupiga. Haoni hata aibu[emoji13][emoji13][emoji13]? .
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwanini aendelee kuwa rafiki yangu?? Dunia imeisha watu?? Hell nuh'..! I told ya' ukiwa adui yangu, tunachukiana kikweli kweli na tunakuwa deadly serious na uadui wetu, I can't play games with 'mdananda'..!
Hahaa. Mtu anayeweza kukaa na wa kishua, halafu akakaa uswazi.Akakaa na mabaharia, halafu akakaa na walokole. Akakaa na wabongo, halafu akakaa na wanyamwezi.Endelea kuchangia boss. Tuendelee kujifunza. Na uzee wangu na miaka yote niliyoishi hapa duniani bado kuna mambo siyajui na kwa mara ya kwanza najifunza kwako kama sio kuyasikia kwako.
Kwenye ule uzi wa vitabu ndio ulikuwa mwanzo wa kuanza kukufuatilia.
Pia hauna haya mambo ya kutumia emoji hata sisi wazee tunaona huu mchango umetoka kwa mwanaume anayejitambua.
There are a lot of them like being honest, making time and showing appreciation for others, lowering or even altering your expectations and not making assumptions.I neither shy nor uncomfortable around people.
I know how to measure up and quality over quantity is my preference for friendships.
I am not introverted, I don't like being alone, I like to interact with people, I like spending time with new people, meeting new people, hang out, etc. But I am just shit at maintaining the friendship. I mean I am not good at keeping them.
It's really frustrating.
I like someone who can handle being apart and not getting angry when I don't contact him/her constantly.
I think maybe a lot of people I met don’t share similar interests with me. It's really hard to find people with my interest.
"Some people lack the skills needed to make and maintain friendships " what are those skills Chaliifrancisco?