KUKU_UFUGAJI JF-Expert Member Joined Nov 4, 2016 Posts 950 Reaction score 1,875 Feb 9, 2024 #1 Wana jamvi,habari ya muda huu, jamani nina shida na nina mtafuta mwana jamvi mwenzetu anaitwa Castle, picha yake hiyo hapo juu. Popote ulipo castle nina kutafuta sababu nina hitaji msaada toka kwako. Kwa anaye jua aliko naomba amfikishie ujumbe wangu.
Wana jamvi,habari ya muda huu, jamani nina shida na nina mtafuta mwana jamvi mwenzetu anaitwa Castle, picha yake hiyo hapo juu. Popote ulipo castle nina kutafuta sababu nina hitaji msaada toka kwako. Kwa anaye jua aliko naomba amfikishie ujumbe wangu.
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,498 Reaction score 27,813 Feb 10, 2024 #2 Castle
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,175 Reaction score 196,917 Feb 10, 2024 #3 Kama picha yake ndiyo hiyo... Mbona hizo chupa zipi nyingi sana... Utaweza kweli kumtambua... Cc: Mahondaw
Kama picha yake ndiyo hiyo... Mbona hizo chupa zipi nyingi sana... Utaweza kweli kumtambua... Cc: Mahondaw
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 46,398 Reaction score 102,528 Feb 10, 2024 #4 Smart911 said: Kama picha yake ndiyo hiyo... Mbona hizo chupa zipi nyingi sana... Utaweza kweli kumtambua... Cc: Mahondaw Click to expand... Dah bro kamaanisha hiyo ni avatar yake😀🤣
Smart911 said: Kama picha yake ndiyo hiyo... Mbona hizo chupa zipi nyingi sana... Utaweza kweli kumtambua... Cc: Mahondaw Click to expand... Dah bro kamaanisha hiyo ni avatar yake😀🤣