- Thread starter
- #121
Leo saa tatu usiku nina gawio lakoNitafatilia mechi halafu nitakufatilia na wewe 😁
Leo saa tatu usiku nina gawio lakoNitafatilia mechi halafu nitakufatilia na wewe 😁
Mkuu Mimi nakuombea tu Dua siombi vibaya,nami naomba uniweke👊 kwenye pay rollLeo saa tatu usiku nina gawio lako
Aweeeeehhhhh nipo na wewe hadi muhindi atupe chetu 😁Leo saa tatu usiku nina gawio lako
Usiwaze mkuuMkuu Mimi nakuombea tu Dua siombi vibaya,nami naomba uniweke👊 kwenye pay roll
Kaa mkao.Aweeeeehhhhh nipo na wewe hadi muhindi atupe chetu 😁
Mpaka hydration break nitakuwa nimeshajua cha kufanya.Hapo kaza Hadi muhindi ateme bungo.
Kataa rushwa ila chukua takrima game ikianza kabla ya dakika 20
Akitema unatukumbuka wakamaria wenzako au sio mzee
Pamoja sana KUNIUsiwaze mkuu
Na itakuwa too late maana muindi naye sio mjinga atafunga hata hiyo cash outMpaka hydration break nitakuwa nimeshajua cha kufanya.
Tunakuombea mkuu, moja tayarBado dilemma ingekuwa Palepale. 23M au 186M?