- Thread starter
- #61
Napiga hiyo 18.6M nitapost hapa baada ya kuwala wahindi.Kuna wachawi hawasemi chcht hapa, wanasubiri mkeka uchanike Waje wamchangamshe Mtoa mada 😂
Napiga hiyo 18.6M nitapost hapa baada ya kuwala wahindi.Kuna wachawi hawasemi chcht hapa, wanasubiri mkeka uchanike Waje wamchangamshe Mtoa mada 😂
Najua itakuwa imesha shuka chukua hichohicho kilicho baaki mechi ishakuwa ngumu hiiNapiga hiyo 18.6M nitapost hapa baada ya kuwala wahindi.
Unajua Uzbekistan wanabeki anacheza Man City ???😂View attachment 3612634Canada, Brazil, Spain to score three goals first half imetick. Bado Portugal. Nishaurini wawekezaji.
Keny Rodgers?Know when to count your money know when to quit
Wewe jamaa, cash out kabla mambo yajaharibikaMachale yananiambia wataingia na hasira kutokana na sare ya mechi ya kwanza. The same assumption nilitumia kubet Canada, Brazil and Spain to score three goals at first half.
Najua.Unajua Uzbekistan wanabeki anacheza Man City ???😂
Siyo kesi. Hela yangu ni elfu 10 tu. NIMESHAAMUA.Wewe jamaa, cash out kabla mambo yajaharibika
Mechi jumanne.Sasahivi itakuwa imeshafungwa au wanampa elfu moja miasita
Kama ni hivyo usi cashoutMechi jumanne.
Kwa nini mkuu.Kama ni hivyo usi cashout
Nahisi magoli yatakuwepo penalty piaKwa nini mkuu.
😀 unataka kusemaje mkuu?Unajua Uzbekistan wanabeki anacheza Man City ???😂
Chukua hela hio achana na Portugal , ningekuambia ufanye ku cover lakini odds zake ni chache sana.Napiga hiyo 18.6M nitapost hapa baada ya kuwala wahindi.
Ku-cover kivipi?Chukua hela hio achana na Portugal , ningekuambia ufanye ku cover lakini odds zake ni chache sana.
Option pekee iliobaki ni cashout.
Kufungwa tatu first half japo inawezekana😀 unataka kusemaje mkuu?
Match ikibaki mmoja huwa tuna cover hapo tunge cover kwa kuchukua million 1 then unacheza Portugal under 2.5 first half lakini odds yake ni ndogo sana.Ku-cover kivipi?
So far kwenye mzunguko wa pili, ni team 3 pekee zimescore 3 goals first half na zote zipo kwenye mkeka wangu; hauoni kama mpaka hapo naota vizuri?Match ikibaki mmoja huwa tuna cover hapo tunge cover kwa kuchukua million 1 then unacheza Portugal under 2.5 first half lakini odds yake ni ndogo sana.
Ku cover Huwa inatumika kwenye team zenye odds kubwa na si ndogo. Hapo naona mkeka wako hamuwezi kucover kutokana na option uliocheza .
Option pekee hapo cashout hela hapo kaka, Portugal kupata goal 3 first half ni ndoto