- Thread starter
- #41
Meridian.Inaitwaje hii betting agency?
Meridian.Inaitwaje hii betting agency?
Kwan nn hukustake laki mkuu? si ungeshakuwa na ist yako kwa cashout tu,Meridian.
Bado dilemma ingekuwa Palepale. 23M au 186M?Kwan nn hukustake laki mkuu? si ungeshakuwa na ist yako kwa cashout tu,
all in all chukua hyo hela.
Mkuu usfanye kosa uingie hiyo 250k take home yote itaisha ubaki kulialia kama zuzu.Aisee hii mambo ya beating mbona inatamanisha hivi
Asante mkuu. Nilikuwa nawaza hivi pia.Cash out afu weka 1m Kwenye odds 7 usipoteze yote
Ila kama umeingia kiubaridi cashout tuuNakupata mwekezaji. Hoja yako Inashawishi.
ANYWAY NIMESHAAMUA. NAJILIPUA LIWALO NA LIWE.Ila kama umeingia kiubaridi cashout tuu
Usikute ndio machale yenyewe
Na hiyo ndio maana halisi ya betting/ kamari....its ALL OR NOTHING. All the best mkuuANYWAY NIMESHAAMUA. NAJILIPUA LIWALO NA LIWE.