Cashewnut Forum ya Ajabu kabisa kutokea

Cashewnut Forum ya Ajabu kabisa kutokea

Tumbili

Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
52
Reaction score
56
Hi wadau,
Korosho ni tatizo, korosho limekuwa tatizo kwa muda mrefu na ninatatizo ambalo mpaka leo hii halina solution ya uhakika. Sasa kimefanyika kitu kizuri sana cha kuandaa Cashewnut investment forum ili kuweza kutafuta solution ya kudumu na kwenye tangazo ilionekana kuwa kikao kitafinyika chini ya usimamizi wa rais muheshimiwa John Magufuli. So due to that kiliwavutia watu wengi sana kuhudhuria na wengi wametoka nje ya nchi ili kuja kumsikia kiongozi mkuu wa nchi kuona nini kimeandaliwa, lakini kwa bahati mbaya kabisa kiongozi mkuu hajatokea na hakuna maelezo yeyote ya kwanini hapana.

Chumba kilichoandaliwa mkutano ni kidogo kuliko washiriki, microphone hazifanyi kazi vizuri, yaani all in all mambo hayako vyema kama ilivyotarajiwa. Some of us tuko very disappointed kwakutokuwepo mkuu wa nchi ambae ndio ultimatum kwenye suhala ili la korosho kama ambavyo alikuwa ultimatum those days.

Kikao kinafanyika utafikiri watu wamestukizwa, yaani utafikiri walikuwa hawajui kuwa kutakuwa na kikao.
 
Waandaaji inatakiwa wapewe adhabu ya kubangua korosho kwa kutumia meno
 
Mlitaka mzee baba aje kwny kikao halafu awaambie nini?

Kwani ni nani aliyeharibu utaratibu wa miaka yote ya ununuzi wa korosho?
 
Pole sana mkuu. Inawezekana walimtonya mkuu kuwa maandalizi yalikuwa hafifu au ni kwasababu ya ugeni wa Rais Museveni...Hatuwezi kufahamu kwa sasa.

Maoni binafsi:
Nimeona kuna uzi umeanzishwa wa kutoa updates: https://www.jamiiforums.com/threads...nternational-investment-forum-mtwara.1605627/

Kwa nini wadau wasitoe ushauri wa jinsi ya kuboresha zao na biashara ya korosho maana nina uhakika kuna watu wa TIC wanaweza kufaidika na michango ya wadau. Kwa leo, labda tuweke lawama pembeni kwanza na kama hawatatilia maanani ushauri na mapendekezo yatakayotolewa ndipo tutarudi kivingine.
 
Back
Top Bottom