Cases ambazo Tanzania imeshitakiwa

iJamii

JF-Expert Member
Jan 19, 2015
1,960
1,498
Hello wadau wote ninatumaini mpo wazima na w'end inaenda poa.

Mara nyingi tumekuwa tukisikia nchi yetu ikishitakiwa kwenye mahakama as usuluhishi za nje kwa mambo kadha ya kadha.

Je, kuna ambao wanafahamu link za hizo mahakama ili wazitume hapa ili kama wananchi wa Taifa hili tupate kufahamu mpaka sasa tulishawahi kushinda na kushindwa kwenye cases ngapi na case ngapi mpaka sasa zipo pending na maamuzi rasmi hayajatolewa.


Ninaamini kwa kuweza kufahamu hayo itatusaidia wananchi kufahamu vyema kama taifa tumepoteza kiasi gani kwa cases mbalimbal pia hili litatusaidia kutoa ushauri kwa serikali yetu tukufu pindi itakapokuwa inakaribia lifeless na kufanya kosa ambalo lishawahi kufanyika huko nyuma.

Napenda kuwasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom