Case lawyer (Denis Maringo)

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
43,394
81,239
Sina nia mbaya kabisa naomba nisieleweke vibaya! Please!
Hivi huyu Msomi Wakili Maringo, hizi case laws anazouza kutoka mahakama mbali mbali anaziuza kwa utaratibu upi? Anaruhusiwa kuuza public documents kwa faida yake? Kuna case laws nyingi ukizikosa katika public domain yeye anakuwa nazo. Je anazipataje?

(Narudia tena , sina nia mbaya ni kutaka kufahamu)
 
Msalimie sana Maringo
Kichwa cha ukweli enzi hizo tupo wote US!
 
Sina nia mbaya kabisa naomba nisieleweke vibaya! Please!
Hivi huyu Msomi Wakili Maringo, hizi case laws anazouza kutoka mahakama mbali mbali anaziuza kwa utaratibu upi? Anaruhusiwa kuuza public documents kwa faida yake? Kuna case laws nyingi ukizikosa katika public domain yeye anakuwa nazo. Je anazipataje?

(Narudia tena , sina nia mbaya ni kutaka kufahamu)
Kwenye Intellectual property kuna kitu kinaitwa Copyright protection, na ndani ya copyright protection kuna kitu kinaitwa "compilation of works" kwa hiyo mtu anaye compile kazi tofauti tofauti kutoka kwenye legal source mbali mbali na kuwa kazi moja either softcopy or hardcopy, then kazi hiyo aliyo compile inakuwa protected under Copyright protection law. Kwa hapa bongo the Copyright Protection Act inatambua na kuzilinda kazi zinazokuwa zimefanyika katika mfumo huo zaweza kuwa Case laws or any legal materials. Sina uhakika sana na kifungu husika ila nafikiri ni Kifungu cha 12 cha sheria tajwa hapo juu.
 
Asante sana kwa maelezo. Nadhani anachokifanya Maringo ni kama kufanya Review kwenye research publications..... you review published papers on a certain topic, say malaria efficacy studies... and publish a paper from that compilation/review and that paper becomes protected by copyright laws! Thanks.
 
Back
Top Bottom