CAS will be opened for applicants with diploma qualifications on 8th August 2016. Thank you

CAS will be opened for applicants with diploma qualifications on 8th August 2016. Thank you

Hakuna Majadiliano (Discussion) ya Miezi Miwili, Bali Mabishano (Argument) Ndiyo Yaweza Kuwa Hata Miaka 100.
Kwahiyo Hawa Hawajadiliani Bali Wanabishana.
Not Discussion, it is an Argument.

Discussion: To Find What is Right
Argument: To Find Who is Right
 
Kuona institutions ya serikali inapotosha umma hilo nalo in jipu
Wanatakiwa kuwa specific
 
Yaani kweli kazi ipo! Kwa hali hii sijui kitakacho tokea lakini never give up.
 
Wanajadili au wanabishana?
Kweli itakuwa sio kujadiliana, ni kubishana mwanzo mwisho. Yule mama ndalichako elimu anaipeleka pabaya Lazima akae na watendaji wenzake waafikiane asiwe ataki kushauriwa
 
How comes!serikali inashindwa kupata makubaliano ya haraka katika mambo ya msingi!?Ipo haja ya idara husika kutoa ufafanuzi wa kina ili kuondoa wasi wasi uliopo miongoni mwetu.
 
Naona mtandao wa tcu upo busy cjui ndo wanaweka mambo sawa, ngoja tuone mwisho wake
 
Back
Top Bottom