CAS will be opened for applicants with diploma qualifications on 8th August 2016. Thank you

CAS will be opened for applicants with diploma qualifications on 8th August 2016. Thank you

Ilkuwa 31st wakapostponde mpaka 8th August ila up to know hakuna cho2te
 
Kuna time Subira inashindwa kabsa kumvuta heri. Hapa Ni swala la application, ngoja tufike kwenye selections uone.
Nahisi Kwenye Selection Ndiyo Majanga Ya Kufa Mtu!
Sihasha Tukaachwa Kwenye First Selection Tukaambiwa Tungoje Second Selection.
Kwenye Second Tukaachwa, Tukaambiwa Tungoje Third Selection.
Kwenye Third Tukapigwa Teke, Tukaambiwa TCU inafanya Majadiliano Na Vyuo ili Tuchukuliwe Kwenye Fourth Selection.
Et the end.. Tunajikutia Kupewa Tangazo la Kuwa Tuombe Mwakani...

Ama Kweli Diploma tunadharaulika Katika Nchi hii ya Viwanda.. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Labda Ni FVI peke yao ndiyo wajuzi Wa Kuendesha Maviwanda ya Kusadikika.. [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Nakumbuka last year nilisubiri selection mpaka nikatubu. Mpaka selection inakuja kutoka ni 27 October.

#HuuMchezoHauitajiHasira
 
Poleni sana sio kwamba hatusikii kilio chenu hapana ila tunaomba tuvumiliane kidogo mambo yatakuwa sawa
 
Naona TCU & CAS viko Bize Kinoma Hvi! inaonesha Kunadalili za Mambo Kuwa Mazuri Kwani TCU na NACTE kila wanapotaka Ku-Update Jambo basi Hupotea Kwa Muda
 
Naona TCU & CAS viko Bize Kinoma Hvi! inaonesha Kunadalili za Mambo Kuwa Mazuri Kwani TCU na NACTE kila wanapotaka Ku-Update Jambo basi Hupotea Kwa Muda

Natamani kuamini hivyo lakini nafsi inanipinga sana.
 
Nakumbuka last year nilisubiri selection mpaka nikatubu. Mpaka selection inakuja kutoka ni 27 October.

#HuuMchezoHauitajiHasira

Sasa mwaka huu kwa jinsi mambo yanavyo scratch from the beginning, hakika tutaanza chuo siku ya MEI MOSI ijayo hahahaaaaa
 
Kweli itakuwa sio kujadiliana, ni kubishana mwanzo mwisho. Yule mama ndalichako elimu anaipeleka pabaya Lazima akae na watendaji wenzake waafikiane asiwe ataki kushauriwa

Mkuu, nimekua interested na hiyo msewe, ngoja nije Waziri Mkuu.
 
Kuna uwezekano mkubwa maombi yakaendelea kupokelewa nacte..
Stay tuned
 
Ebu vuteni subira kidogo bando limetuishia ndo tupo tunajadiliana na ttcl watukopeshe
 
Back
Top Bottom