CAS will be opened for applicants with diploma qualifications on 8th August 2016. Thank you

CAS will be opened for applicants with diploma qualifications on 8th August 2016. Thank you

Kuna uwezekano mkubwa maombi yakaendelea kupokelewa nacte..
Stay tuned

Hata waseme tuanze kuomba kupitia VETA, TRA, TAKUKURU, UDART au hata HALMASHAURI YA WILAYA YA ROMBO, MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU au STENDI YA MABASI YAENDAYO MIKOANI UBUNGO sawa tu. Suala ni kwamba waruhusu maana tumezichoka kalenda na figisu zao.
 
Kwa wadogo zangu mliomaliza kidato cha sita na wa kidato cha nne mnaohitaji info kuhusu vyuo vya china(kozi,ada na admission process) kwa mwaka 2016 ninaweza kuwasaidia na i can help with admission process too.tuwasiliane kupitia +8613065131363 whatsapp only.na kwa wale form six science waliokosa sifa za kujiunga na shahada foundation courses za mwaka 1 pia zipo .Karibuni huduma inatolewa bure


Na wakubwa zako wenye diploma china hawatakiwi au?
 
CAS will be opened for applicants with diploma qualifications on 8th August 2016. Thank you.

Haya wale vijana wa Diploma naona bado mnawekwa kizungumkuti, tarehe iliyotajwa na TCU imepita bila chochote.

Majadiliano bado yanaendelea, nadhan mpaka tarehe 12 august (tetesi)
Poleni sana.

cc Mama Ndalichako
3.5
 
Naona TCU & CAS viko Bize Kinoma Hvi! inaonesha Kunadalili za Mambo Kuwa Mazuri Kwani TCU na NACTE kila wanapotaka Ku-Update Jambo basi Hupotea Kwa Muda
Naona TCU & CAS viko Bize Kinoma Hvi! inaonesha Kunadalili za Mambo Kuwa Mazuri Kwani TCU na NACTE kila wanapotaka Ku-Update Jambo basi Hupotea Kwa Muda
Isije ikawa wanataka kupiga kalenda tena kwani previously ilikua hivi hivi.
 
Back
Top Bottom