Kasoro yake tu ni kwamba huyo ndege LAZIMA aende chini! Lakini sitaki kuamini kweli tumefikia hapo. Bado kuna tumaini!
ndo maana yake! Kama manyoya yote yamenyonyoka wewe unafikiri kitafuata nini!? Huyu ndege bado hajakata tamaa, huenda yakaota tena akiwa angani!!Huyu Masudi anatukatisha tamaa, anamaanisha kinachofuata ni kudondoka kwa maana ya kuanguka kwa Tanzania.
Huyu Masudi anatukatisha tamaa, anamaanisha kinachofuata ni kudondoka kwa maana ya kuanguka kwa Tanzania.
Huyu Masudi anatukatisha tamaa, anamaanisha kinachofuata ni kudondoka kwa maana ya kuanguka kwa Tanzania.