Monday, November 5, 2012
"Wapo wanaosema wewe Rais unatembea sana nje ya nchi, lakini bila kutembea kwako tusingepata maendeleo tunayopata, hivyo tunakuomba uendelee kutembea ili tuendelee kupata maendeleo zaidi," alisema Dk Magufuli.
Chanzo: Gazeti la Mwananchi
Katika katuni iliochorwa na wachoraji maarufu wa katuni za Kisiasa Afrika mashariki GADO CARTOONS imemuonesha JK kama mtu anaetegemea misaada kwenye kila jambo.
Katuni iyo inayolenga kuonesha ni somo gani viongozi wa Afrika Mashariki wamejifunza kutokana yaliyojiri Misri (Egypt), jionee mwenyewe.
:target:
Democracy is NOt a mere election, but on how you treat opposion, dissidents and minority (Barack Obama 2013)