Nikipata mume kama huyu nitatembeaje kifua mbele....
ila usisahau kuvaa sidiria
Nikipata mume kama huyu nitatembeaje kifua mbele....
Tena utatembea kifua mbele matako nyuma.
Nikipata mume kama huyu nitatembeaje kifua mbele....
Kutembea kifua mbele kwa minajili gani?
Siyo mjukuu huyo?
Sina hakika kama nimekuelewa
Kwasababu gani utembee kifua mbele endapo utapata mume wa aina hiyo?
Siyo mjukuu huyo?
Hujui kutembea kifua mbele maana yake nini?