Carina bei cheap!!

Makundison

Senior Member
Joined
May 17, 2011
Posts
108
Reaction score
30
Wana jf,kuna jirani yangu anauza toyota carina si ya mwaka 2000,in dar haijawahi kwenda zaidi ya buguruni tangu imetolewa bandarini mwaka jana december,inatoka mara moja kwa wiki kwa ajili ya shoping tu za nyumbani kwake,it looks like new,engine na body iko fresh kabisa,offer yake 7m,kwa wazoefu wa hizi gari naombeni ushauri kuhusu hiyo bei (is it reasonable au ni expensive sana?)natanguliza shukrani!!
 
una bahati chukua kabla hajabadili mawazo, utumiaji wa mafuta kwa gari hizo ni mzuri hakuna mfano.
 
beba fasta kabla hajabadili mawazo
 
kama iko poa nunua fasta kwani sifa ulizotoa ni kama bado ipo kwenye hali nzuri
 
Usipende kutumia neno 'cheap' kwenye biashara! Lina maana pana na mbaya isiyohusiana na 'bei rahisi'
 
Ukishindwana naye, njoo nikuuzie GX 100 chaser mpyaaaaa kwa shilingi milioni sita tu.
 

natumia gari kama hilo ikiwa iko poa nenda uchukue haraka kaka ....
 
angalia kama ni 5A,au 7A engine nunua kama ni 3S kime mafuta
 

Otherwise kama bado unajiuliza, nisogezee mimi niibebe wewe uendelee kujiuliza vizuri mkuu wangu.
 
ukishindwana naye, njoo nikuuzie gx 100 chaser mpyaaaaa kwa shilingi milioni sita tu.

weka picha mkuu,...kama vip ni_pm ili unitumie kwenye mail yangu...only if ukjo serious lakn
 
Wewe ndo unatakiwa unitumie hizo picha za hiyo gx 100 mpya uliosema
 
mkuu hebu rusha basi picha....nimeku_pm

Mkuu nimeshakutumia picha, angalia email yako. Gari imetulia sana......angalia picha ukiwa interested tufanye biashara.
 

Carina ni gari nzuri haili mafuta kabisa nenda benki mkabidhi milioni saba zake lamba mzigo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…