Makundison
Senior Member
- May 17, 2011
- 108
- 30
Wana jf,kuna jirani yangu anauza toyota carina si ya mwaka 2000,in dar haijawahi kwenda zaidi ya buguruni tangu imetolewa bandarini mwaka jana december,inatoka mara moja kwa wiki kwa ajili ya shoping tu za nyumbani kwake,it looks like new,engine na body iko fresh kabisa,offer yake 7m,kwa wazoefu wa hizi gari naombeni ushauri kuhusu hiyo bei (is it reasonable au ni expensive sana?)natanguliza shukrani!!