Career women: Nisaidieni katika hili

Ndioo hivyo mwambie huyo Dada aache ujinga umesema elimu yenyewe amesaidiwa na mume wake Leo kazi imekuwa bora kuliko mume anaweza kupanda vyeo huku ndoa inayumba hajui vyeo huwa vinaisha ndoa ni ya kudumu?
 
Mnaweza mkacompromise tu pia, mkaumia kwa muda then baadae mambo yakawa sawa, mgano mama anaweza kupambana apate pesa afungue miradi mingine na aachane na kazi asimamie miradi yake na awe na muda wa familia.
Wewe mwenyewe umesema mume ndio anayeumia na akakuletea malalamiko wangekuwa wamecompromise kama unavyoshauri wala asingelalamika maana wangekuwa wamekubaliana kwamba bwana Fanya kwa muda fulan tukusanye mtaj halafu unajivua tunaendelea na yetu
 
Ndioo hivyo mwambie huyo Dada aache ujinga umesema elimu yenyewe amesaidiwa na mume wake Leo kazi imekuwa bora kuliko mume anaweza kupanda vyeo huku ndoa inayumba hajui vyeo huwa vinaisha ndoa ni ya kudumu?
Hata ndoa huwa zinaisha Daudi.
By the way cha msingi ni kutafuta namna bora ya kubalance.
 
Wewe mwenyewe umesema mume ndio anayeumia na akakuletea malalamiko wangekuwa wamecompromise kama unavyoshauri wala asingelalamika maana wangekuwa wamekubaliana kwamba bwana Fanya kwa muda fulan tukusanye mtaj halafu unajivua tunaendelea na yetu
Sijasema kuwa wao ndio wamecompromise, bali nimeitoa tu kama one of the solutions as wadau wamechangia pia hivyo.
 
Hata ndoa huwa zinaiha Daudi.
By the way cha msingi ni kutafuta namna bora ya kubalance.
ndoaaa haziishiii mama ila zinayumba wanandoa wanaanchana ila agano la ndoa linaishi na anayebaki kulisimamia ni mtoto ndio maana mnaweza mkagombana lakin likija suala la mtoto hata kama utaolewa sehemu nyingine bado utakaa na kujadili na baba watoto wako linabaki in agano kati yenu n hakuna wa kutenguaaaa
 
Kuna ambao hawakufunga ndoa na walizaa na linapokuja suala la mtoto wanakaa pamoja hata kama walitengana.
 
Ngoja na mie nijaribu kushauri. Kwanza ni Muhimu kujua kwa Mara ya kwanza kukutana nini kulichowasukuma muoane. Hii itasaidia kujua kama ktk hatua zenu mnatimiza malengo yenu. Kama drive yenu ilikuwa ni kupata company ya MTU mtakayetiana moyo kila Siku basis ndoa ya sina hii ni shida. Kama sex ndio iliwasukuma basis ndoa iko mashakani. Pia tunaoa ili tufurahie mapenzi in a daily or kila ninapohitaji. Kiukweli ndoa ya jinsi hiyo lazima iwe mzigo
 
Atafute housegirl mzuri tu awe mnyiramba au mrangi hawana shida hao ...wanakata viuno htr ila mke wake ampe heshima zote kamwe asimdharau(jokes)....binafsi napenda mwanamke ambaye yupo busy sn ila asiwe kicheche tu kwajinsi nilivyo napenda space kubwa sn yan kua commited sn inanikera tu huyo wa kukutana nae mara chache chache ndo mzuri ili nifanye hobby zangu ...kucheki mpira...kucheza draft ...kwenda gym...kwenda swimming pool yan uwaga nina mambo mengi ambyo nazeeka nayo na nayapenda bado ...na hapo akirudi home ntamtoa stress zote coz am very charming...ila tu i always need space,shida ni kwamba watu wanaingia kwenye ndoa wakidhani ni mhm mda wote kuwa pamoja ila mi napenda ndoa ambyo mnapeana likizo ya week kila ht baada ya mwezi...arudi kwao au aje ukweni na mimi nika enjoy life ....kuna vitu vya kufanya ila ndoa sio kitu serious sn km unavyodhani kikubwa muwe waaminifu,muheshimiane na muwasiliane....nothing is serious....
 
Good analysis, kwahiyo tatizo ni msingi wa ndoa.
 
Kweli watu wanatofautiana mkuu.
 
Kwa Dunia ya Leo hilo ni zaidi ya changamoto, ni janga...!! Tumuombe Mungu tu awasimamie na siwatetereshe kwa majaribu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom