Career women: Nisaidieni katika hili

Hii post ilinichekesha sana. Alikuwa hoi hata shift yake ya usiku akashindwa kuifanya. Usiku mzima lazima aje hapa ili kupitia list ya watu wake na kuangalia wamepost nini kwa siku nzima ili aone kama kuna ulazima wa kujibu au kukaa kimya. Jana alionekana akiwa amesinzia kisha kupitiwa na usingizi fofofoooo alipoanza kutaka kuifanya shift yake ya usiku lol! hahahahahaha.
Teh teh..Huyu mama watoto nimeshamzoea..Kuishi nae unahitaji uwe na Masters ya uvumilivu na Phd ya upendo
 
Duuuh!! Kwanza mwanamke kuhamia aliko mume ni ngumu kidogo maybe itachukua muda sana maana kahamishiwa mkoa tofauti miezi mitano iliyopita baada ya kupandishwa cheo.

Hiyo ya kufanya kazi za nyumbani kabla ya kwenda kazini ni ngumu maana mtu anayeondoka nyumbani saa 11asubuhi ili afanye hizo kazi ataamka saa ngapi?
Maybe kwa wale wanaoishi maeneo yasiyo na jam.

hapo pa kuishi kizungu eti tuwazoeshe hadi karne ijayo, why msijizoeshe wenyewe maana mambo na nyakati zimebadilika?
Hii ni changamoto kubwa hapo mwanamke inatakiwa ajue namna ya kuhandle hizi issue asipojielewa lazima asaidiwe mwanaume ndani ya ndoa akae miez mitano, hiyo ndoaa au maigizo hata kama ni ubize lazima mwanamke ujue una responsibility mbili otherwise achague moja kati ya hizo,
pili mnapokuwa kwenye mahusiano lazima mnakuwa na mipango ya ukubwa wa familia mnayotaka kuwa nayo kwa upande wa idadi ya watoto na kwa muda fulani, na mtoto sio wa mwanaume ni wa wote so lazima ujue namna ya kutimiza hayo, ubize gani unamzuia kuzaa kama anafanya kwa ajir ya familia lazima ujue unatafuta kwa familia yenye ukubwa gani lakin kama unatafuta ili upate sifa kwa mabosi sawa
 
Mume ana kazi nzuri tu, na mafanikio waliyonayo ni mume kayawezesha hata kumsomesha mkewe kufikia hapo alipo, kipato cha mke kimemzidi mume baada ya hiki cheo kipya lakini kabla ya hapo mume ndio alikuwa juu. Pamoja na hivyo still mume yuko vizuri tu.
hapo ni maamuzi ya kiume mama unataka vyeo au unataka mume atakalo jibu ndio linafanyiwa kazi, kwa jinsi ninavyojua mwanamke akipata na kacheo, dharau na jeuri ndio huwa zinaanzia hapo
 
Hii ni changamoto kubwa hapo mwanamke inatakiwa ajue namna ya kuhandle hizi issue asipojielewa lazima asaidiwe mwanaume ndani ya ndoa akae miez mitano, hiyo ndoaa au maigizo hata kama ni ubize lazima mwanamke ujue una responsibility mbili otherwise achague moja kati ya hizo,
pili mnapokuwa kwenye mahusiano lazima mnakuwa na mipango ya ukubwa wa familia mnayotaka kuwa nayo kwa upande wa idadi ya watoto na kwa muda fulani, na mtoto sio wa mwanaume ni wa wote so lazima ujue namna ya kutimiza hayo, ubize gani unamzuia kuzaa kama anafanya kwa ajir ya familia lazima ujue unatafuta kwa familia yenye ukubwa gani lakin kama unatafuta ili upate sifa kwa mabosi sawa
Duuuh!!
 
hapo ni maamuzi ya kiume mama unataka vyeo au unataka mume atakalo jibu ndio linafanyiwa kazi, kwa jinsi ninavyojua mwanamke akipata na kacheo, dharau na jeuri ndio huwa zinaanzia hapo
Mnaweza mkacompromise tu pia, mkaumia kwa muda then baadae mambo yakawa sawa, mgano mama anaweza kupambana apate pesa afungue miradi mingine na aachane na kazi asimamie miradi yake na awe na muda wa familia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom