Career moja mume na mke

kila jambo na muda wake, muda wa kazi ni kazi, nyumbani ni family business,
sio tu mkiwa career moja, hata kama mpo tofauti cheo kinatakiwa kuishia ofisini.
nyumbani ni mama au baba
I like this.
 
Maisha kama hayo yanakuwa bored mbaya, kozi kutakuwa Hamna mawazo mapya, let's say wote waalimu yani always mtakuwa mnazungumza kuhusu wanafunzi, taaluma, kusaidiana kusahihisha daftari, yan stori kama mpo ofisini bado yani,, but mmoja akiwa dokta mwngine mwalimu hapo hata mawazo mapya yanakuja, nakusimulia kuhusu hali halisi ya hospital kuhusu jinsi ya kujifungua na kufanya oparation, huku wewe pembeni unaandaa andalio lako la somo and life goes on......
 
Sahihi kabisa na mkizid mtaanza wasema wafanyakaz wenzenu
 
Sioni tatizo lolote maana mkirudi nyumbani kuna mengi ya kufanya sio kuzungumza mambo ya ofisini. But kama mko ofisi moja hapo sasa hapana maana hata uhuru hautakuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…