mkuu we unafanya kazi kada ipi?Poleni na uchovu wa siku wandugu,
Imetokea mmekutana chuoni mnasoma course moja, mapenzi yamenoga mpaka mnamaliza shule mnakuja kuoana, wote mnafanya field moja let say wote maofisa wa kilimo, maengineer, walimu, wahasibu ect.
Nyumbani mnaweza kutokuongelea field zenu na kuwa na maongezi mengine, kama mkiendelea kuongelea mazungumzo ya kazini nyumbani ni kama mnafanya kazi 24 hrs.
acha uongo banaMkuu mimi kapuku tu.
Poleni na uchovu wa siku wandugu,
Imetokea mmekutana chuoni mnasoma course moja, mapenzi yamenoga mpaka mnamaliza shule mnakuja kuoana, wote mnafanya field moja let say wote maofisa wa kilimo, maengineer, walimu, wahasibu ect.
Nyumbani mnaweza kutokuongelea field zenu na kuwa na maongezi mengine, kama mkiendelea kuongelea mazungumzo ya kazini nyumbani ni kama mnafanya kazi 24 hrs.
heb maliza hako kadegree kako ka udaktar urud nyumban wach kujitongozesha kwa lecturersPoleni na uchovu wa siku wandugu,
Imetokea mmekutana chuoni mnasoma course moja, mapenzi yamenoga mpaka mnamaliza shule mnakuja kuoana, wote mnafanya field moja let say wote maofisa wa kilimo, maengineer, walimu, wahasibu ect.
Nyumbani mnaweza kutokuongelea field zenu na kuwa na maongezi mengine, kama mkiendelea kuongelea mazungumzo ya kazini nyumbani ni kama mnafanya kazi 24 hrs.
mkuu siye wapiga madili kazi zetu hatujichanganyi na wanawakeHii topic mission town haituhusu.
Mi tunaongelea pesa tu na wife we Leo umeuza Spry Ngapi? Na yeye ananiuliza we Umeuza jano Gunia Ngapi ,,nipe hesabu kesho nifuste Dark and love na salsa na Prima pia Spry za kampuni la Rasasi zimeisha,,full kujadili pesa ,,harafu j3 naenda Mtukula kupakia mzigo nikifika huko nachepuka na mnyarwanda maisha poa,,ila na sisi shule tumefika mpaka chuo ,,4 yrs