Careen anawapa hi.....!!!!

Jina kama la first born wangu,
Wa kujifunzia nikiwa field mwaka wa pili ila nakaa naye now ana miaka 7, nililipenda hilo jina. Mpe hi Careen.
 
Nakaomba haka katoto jamani kazurije
 
Msalimie Mkuu.

Kuna watu watakuja kusema kwa nini unamuanika Mtoto mtandaoni? Wasichojua, mtoto ni wako wala hupangiwi.
 
dah! jna la dem wangu wa zamani aisée majina haya wanakuaga wa-cute
 
Huku ni kujitoa ufahamu, hivi mbona tunasema kila Mara hapa jukwani kuhusu kuweka mitoto yenu mitandaoni.Nyie single Mather mn matatizo sana
 
Huku ni kujitoa ufahamu, hivi mbona tunasema kila Mara hapa jukwani kuhusu kuweka mitoto yenu mitandaoni.Nyie single Mather mn matatizo sana
Masingle maza wamekufanyaje mkuu? Mtoa mada ni baba careen, au nae ni single faza?
.
.
Mtoto ni wake, acheni kutoa mapovu. Pia sema watoto na sio mitoto!
 
Msalimie Mkuu.

Kuna watu watakuja kusema kwa nini unamuanika Mtoto mtandaoni? Wasichojua, mtoto ni wako wala hupangiwi.

Masingle maza wamekufanyaje mkuu? Mtoa mada ni baba careen, au nae ni single faza?
.
.
Mtoto ni wake, acheni kutoa mapovu. Pia sema watoto na sio mitoto!
Acheni kumset ujinga jamaa picha ikipostiwa hapa inaingia hadi kwenye serva za google na kuna watu wanazinyonya atakuja kushangaa watu wamempost kwenye site za ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…