Mkuu nenda pale fire, au Kwa maelezo sahihi ukiwa unaingia mtaa wa Msimbazi kama unaenda club ya Simba Kama unatokea Fire.mtaa wa kwanza mkono wako wa kulia, ingia huo. Tembea mpaka pale msikitini ( unaitwa Shadhir ule msikiti) ukifika pale muulizie mtu anaitwa Musa. Huyu jamaa wacha tu kwamba anajua kufunga mziki wa kwenye magari, pia anauza na vifaa vya mziki hapo hapo nyumbani kwake.Naamini tatizo lako hapo litakuwa historia.