Wakuu naomba mnijuze na kunisaidia juu ya hii ishu ya car immobilizer.
Kuna suzuki v6 imetia lock ya immobilizer so gari haiwezi waka .Je kuna njia yoyote yakuweza kuanlock immobilizer??
Naomba kama kuna yeyote mwenye ufaham wa hili anisaidie.
Je inafanyeje kazi?