Car Clearing Costs


mkuu nimeipenda hiyo red
 
Jamanieee asnate mkuu kwa hili, itanisaidia..

do you have any clue regarding other charges yani mm nanataka chaji zingine tofoauti na Kodi

shipping line
port charges
Agency fees (range)
import fees (if any)
registration
plate no... asante sana

Umenunua Ti moja tu,unatafuta ushauri kwenye mitandao,siku ya kuagiza scania 2,utataka kumuona Rais.
 
Anatuzingua huyo!

Why brother!? I real not intending to monk any one here, Nimesema nimepanda calc za kbm it is hassle free in my opinion as his as well!

its okay bro calm down!
 
Umenunua Ti moja tu,unatafuta ushauri kwenye mitandao,siku ya kuagiza scania 2,utataka kumuona Rais.

Mkuu usijali na wala huna haja ya kutoka povu kwa hasira kalm down! kuwa tu mpole kaka wewe uliye na hamer kwani ulizaliwa nayo si uliikuta hapa duniani! na mm pia nimeikuta hapa hapa duniani kwa hiyo hakuna haja kukejeli! uwe na j2 njema!
 
Kodi za nchi hii zinkatisha tamaa sana
unapoagiza gari hakikisha umejiandaa vya kutosha
 
Kwa kuongezea, bei inaweza kushuka kwa maongezi zaidi na afisa wa kodi,usipofanya hivyo kuna uplift itafayika utalipa zaidi ya matarajio yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…