Mtoto wa tajiri
Senior Member
- Jun 24, 2019
- 135
- 224
Karibuni kwenye uzi wa kujadili mpambano kati ya magari yanayofanana kigezo na kimuundo. Leo ni 2011 ford crown victoria vs 2011 toyota crown.
2011 toyota crown
Aisee nimegugo hiyo chuma ni v8 4.6L. Aisee ndo mana kwenye movie naonaga zinaamsha balaa😄Iyo Ford sio V8 iyo? Kwenye Hollywood naonaga wanatumia NYPD
Toyota ipo luxury, design nje na ndani nzuri, ulaji wa mafuta utakua mzuri.
Hafu US mafuta cheap.Aisee nimegugo hiyo chuma ni v8 4.6L. Aisee ndo mana kwenye movie naonaga zinaamsha balaa😄
Basi ndo maana ndinga zao cc ni kubwa kubwa tu na hawaoni shidaHafu US mafuta cheap.